Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo basi tena Yanga

Kocha-wa-Timu-ya-Club-ya-Yanga-Maxio-MaximoNA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Juma Kaseja basi tena Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja, imefahamika kuwa, amefikia kikomo cha kuendelea kuichezea timu hiyo inayojiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf). Awali, meneja wa kipa huyo, Abdulfatah Saleh, aliwahi kutamka kusitisha mkataba wa mchezaji wake, Kaseja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kwenye msimu huu wa ligi kutokana...

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

GPL

Wambura basi tena Simba

Mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
KAMATI ya Uchaguzi ya Simba, jana Jumapili ilikutana kupitia pingamizi mbalimbali walizowekewa baadhi ya wagombea walioomba kuwania nafasi za uongozi wa klabu hiyo. Uamuzi kuhusiana na pingamizi mbalimbali utatolewa leo na kamati hiyo lakini kusalimika kwa mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano....

 

11 years ago

GPL

Yanga SC yamkataa msaidizi wa Maximo

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umekataa mapendekezo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo juu ya msaidizi wake ambaye anahisi anaweza kuelewana naye kwa kuwa wamewahi kufanya kazi pamoja. Habari za uhakika ambazo zimefika mezani kwenye gazeti hili, zinaeleza kuwa, Maximo alipendekeza uongozi wa klabu hiyo umpe ajira Kocha wa KMKM ya Zanzibar, Ali Bushiri,...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaadabisha wavivu Yanga

Kocha wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewaadabisha wachezaji wavivu kwa kuwapa adhabu ya kukimbia kuzunguka uwanja kwa saa nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

KARIBU YANGA: Maximo kuunguruma

>Kocha mpya  wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewasili nchini jana na leo ataanika mikakati yake ya kuimarisha timu hiyo katika mkutano wa kwanza na vyombo vya habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani