Juma Kaseja basi tena Yanga
Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi KIPA namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja, imefahamika kuwa, amefikia kikomo cha kuendelea kuichezea timu hiyo inayojiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf). Awali, meneja wa kipa huyo, Abdulfatah Saleh, aliwahi kutamka kusitisha mkataba wa mchezaji wake, Kaseja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kwenye msimu huu wa ligi kutokana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3jTl2qg9wX2E7GCXc3QVKy07rxYZHOsM7OsC7FtL3TDsgof*hHn*hOWzaREIM0LCtkZ1NJe4QNQb89CRQ23ZSFWVH-drSg3a/kaseja.jpg)
YANGA YATANGAZA KUACHANA NA JUMA KASEJA
10 years ago
Bongo508 Jan
Yanga watangaza kuachana na Juma Kaseja
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Yanga wamgeuzia kibao Juma Kaseja
10 years ago
Vijimambo31 Oct
Juma Kaseja aamua kuvunja mkataba Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Juma-Kaseja--October30-2014.jpg)
Hata hivyo, moja ya sharti ambalo ni vigumu kutekelezeka ni pamoja na kutaka kupewa nafasi za kudaka katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), ambayo hajawahi kusimama langoni msimu huu tangu pazia lilipofunguliwa Septemba 20.
Kupitia meneja wake, Abdulfatah Saleh, Kaseja ameipa masharti Klabu ya Yanga kama inataka kubaki naye immalizie fedha za...
11 years ago
GPLBAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Maximo basi tena Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...
10 years ago
MichuziJUMA KASEJA AWA BALOZI MPYA WA NSSF
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MECHI 15 LANGONI AKIWA YANGA NA KARUHUSU GOLI 10 YANGA YA SEMA NENDA KASEJA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-aPaGg6PG8Uo%2FVK63KAKkm_I%2FAAAAAAADVGg%2FKUDFaMpRG_s%2Fs1600%2FIMG_50362.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu.“Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe kuanza kujiengua katika timu,”amesema MuroMwishoni mwa mwaka jana, Kaseja...