Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe

Kipa mpya wa Simba, Ivo Mapunda amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa viongozi wao wamefanya jambo la busara ambalo hawatalijutia kwa uamuzi wao wa kumsajili Donald Musoti.

 

9 years ago

Vijimambo

Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje

Kipa Juma Kaseja (kushoto) akikabidhiwa jezi na kiongozi wa Mbeya City. Katikati ni Tippo Athuman akishudia tukio hilo.
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...

 

11 years ago

GPL

IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC

KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa...

 

11 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

11 years ago

GPL

IVO, CANNAVARO WATEMWA STARS, MAKIPA WOTE WA AZAM WACHUKULIWA

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amewaacha kipa Ivo Mapunda wa Simba SC na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga SC katika kikosi chake cha wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu. Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ivo Mapunda amfagilia Aveva

KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards

ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.

Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.

“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.

“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...

 

9 years ago

Mwananchi

Logarusic amrejesha Kenya Ivo Mapunda

Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic amempa kibarua kipa wa zamani wa klabu hiyo, Ivo Mapunda (pichani) kwa kukubali kumsajili katika klabu yake, AFC ya Leopards ya Kenya.

 

11 years ago

GPL

Taulo la Ivo Mapunda marufuku golini

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. Lucy Mgina na Sweetbert Lukonge
TABIA ya kipa wa Simba, Ivo Mapunda kutundika taulo katika nyavu za golini sasa inaelekea kufikia ukomo kwa kuwa licha ya waamuzi kadhaa kumkataza kufanya hivyo wakati wa mechi, mwamuzi mwingine wa kimataifa ameliambia gazeti hili kuwa ni marufuku kutundika taulo golini. Ivo amekuwa na kawaida ya kutundika taulo kwenye nyavu kisha kuendelea na mchezo, lakini kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani