Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje

Kipa Juma Kaseja (kushoto) akikabidhiwa jezi na kiongozi wa Mbeya City. Katikati ni Tippo Athuman akishudia tukio hilo.
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseja: Sina bifu na Ivo

KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema hana sababu ya kutoelewana wala kugombana na kipa wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda. Kauli hiyo ya Kaseja imekuja baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Pawasa awapa somo Kaseja, Ivo

Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa ameunga mkono kurejea kwa kipa Juma Kaseja katika klabu ya Simba na kumtaka Ivo Mapunda kuacha woga na kukubali kupambana.

 

11 years ago

Mwananchi

Ivo, Okwi wang’ara, Kaseja mh

Baada ya tambo za muda mrefu za mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga, hatimaye Jumamosi iliyopita, Wekundu wa Msimbazi walionyesha ubabe wao kwa kuwanyuka watoto wa Jangwani mabao 3-1.

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja atua Coastal Union

GOLIKIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amesajiliwa na Coastal Union ya Tanga na ameanza mazoezi. Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Tanga jana, msemaji wa Coastal Union, Oscar Assenga alikiri ujio wa Kaseja kwenye timu hiyo lakini akasema hajasajiliwa na kwamba wapo kwenye mazungumzo.

 

11 years ago

GPL

Kocha atua Yanga amfuta Kaseja

Kipa ya Yanga, Juma Kaseja. Lucy Mgina na Khadija Mngwai MABADILIKO yanaendelea kutokea ndani ya kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga kwani tayari imepata kocha mpya wa makipa ambaye hata kabla ya kuanza kazi, ametangaza kumfuta kipa Juma Kaseja kama kipa namba moja. Kaseja alipewa nafasi hiyo katika mechi yake ya kwanza akiwa amerudi Yanga na kufungwa mabao matatu wakati Yanga ilipolala kwa mabao 3-1 dhidi ya Simba...

 

9 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ASAKA KURA ZA CCM KATA KWA KATA,ATUA HAI,VUNJO,SAME,ARUMERU NA MWANGA

Mbunge mtarajiwa wa Moshi Mjini Ndg.Davis Mosha akisalimiana na Mwigulu Nchemba wakati wa Mkutano wa hadhara ndani ya kata ya Sokoni.Mwigulu Nchemba akimnadi Davis Mosha mbunge Mtarajiwa kwa Moshi mjini.Mwigulu Nchemba akiwasili Same Mashariki.Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Same Mashariki Bi.Anna Kilango Malecela mapema hii leo wakati alipokwenda kuinadi Ilani ya CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Same Mashariki kuhusu Umuhimu wa kufanya Uchaguzi kwa...

 

9 years ago

Habarileo

Kaseja mali ya Mbeya City

KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amelikimbia Jiji la Dar es Salaam na kuanzia msimu ujao atakuwa jijini Mbeya baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Mbeya City.

 

10 years ago

Habarileo

Mbeya City, Mwadui zamwania Kaseja

BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumweka huru aliyekuwa golikipa wa Yanga Juma Kaseja klabu za Mbeya City, Mwadui FC na Ndanda FC zinapigana vikumbo kuwania saini yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani