Pawasa awapa somo Kaseja, Ivo
Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa ameunga mkono kurejea kwa kipa Juma Kaseja katika klabu ya Simba na kumtaka Ivo Mapunda kuacha woga na kukubali kupambana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Kaseja: Sina bifu na Ivo
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema hana sababu ya kutoelewana wala kugombana na kipa wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda. Kauli hiyo ya Kaseja imekuja baada...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Ivo, Okwi wang’ara, Kaseja mh
9 years ago
Vijimambo21 Aug
Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
11 years ago
Habarileo13 May
RC awapa somo wabunge wa Dar
WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Dk. Lyamuya awapa somo wanahabari
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujua maadili ya utumishi wa umma na sera za afya, ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya jamii na sekta hiyo. Wito huo ulitolewa...
10 years ago
Dewji Blog21 Aug
Mwigulu awapa somo wafanyabiashara
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.
Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo Mashariki na...
10 years ago
Habarileo12 Feb
Spika awapa somo wabunge
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.