Kaseja: Sina bifu na Ivo
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema hana sababu ya kutoelewana wala kugombana na kipa wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda. Kauli hiyo ya Kaseja imekuja baada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Maximo: Sina bifu na Kaseja
WAKATI kocha mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo akitarajia kuanza kibarua Jumatatu, amesema hana ‘bifu’ na kipa Juma Kaseja wala mchezaji yeyote hapa nchini. Maximo akiwa kocha wa...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Pawasa awapa somo Kaseja, Ivo
Beki wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa ameunga mkono kurejea kwa kipa Juma Kaseja katika klabu ya Simba na kumtaka Ivo Mapunda kuacha woga na kukubali kupambana.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Ivo, Okwi wang’ara, Kaseja mh
Baada ya tambo za muda mrefu za mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga, hatimaye Jumamosi iliyopita, Wekundu wa Msimbazi walionyesha ubabe wao kwa kuwanyuka watoto wa Jangwani mabao 3-1.
9 years ago
Vijimambo21 Aug
Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2841060/highRes/1097591/-/maxw/600/-/14bcsqmz/-/kaseja.jpg)
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
11 years ago
GPLSINA BIFU NA WEUSI - ROMA MKATOLIKI
Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoliki’ wakati akifanya mahojiano ndani ya studio za Global TV Online. MAKALA SIFAEL PAUL
UKITIMBA mjengoni Global Publishers utaipenda. Mbali na magazeti yanayosomwa na wengi ndani na nje ya Bongo, utakuta na bonge la studio ya Global TV Online. Hapo ndipo mastaa hudondoka kila wiki kufunguka mambo mbalimbali juu ya sanaa wanazofanya. Hivi karibuni ndani ya Global TV Online ilikuwa zamu...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Ivo aishangaa Yanga
Kipa namba moja wa Simba, Ivo Mapunda amesema kitendo cha watani zao Yanga kuamini ushirikina ndani ya uwanja ipo siku kitawagharimu.
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Ivo: Nilibeba ‘zigo’ la lawama
Kipa wa Simba, Ivo Mapunda amesema kocha Goran Kopunovic alimpa jukumu zito la kumtaka akadake penalti kama angeshindwa angebebeshwa lawama zaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania