Ivo: Nilibeba ‘zigo’ la lawama
Kipa wa Simba, Ivo Mapunda amesema kocha Goran Kopunovic alimpa jukumu zito la kumtaka akadake penalti kama angeshindwa angebebeshwa lawama zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
Mkwasa abeba lawama zigo la 7-0
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, Charles Mkwasa amekubali kubeba lawama za Watanzania kufuatia kipigo cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 huko Urusi uliofanyika usiku wa Jumanne wiki hii huko Bilda, Algeria.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Maxime akwepa zigo la lawama Mtibwa
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Kerr atupia zigo la lawama nyota wake
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amewatupia lawama nyota wake kuwa ndio chanzo cha mwenendo mbaya wa klabu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kauli ya Kerr imekuja siku chache baada ya tetesi za kutumuliwa kwake kuzidi kushika kasi, kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo yamekuwa yakiiandama timu hiyo katika siku za karibuni.
Simba inashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa na jumla ya pointi 24, hadi sasa imefanikiwa...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
UKAWA wamtwisha zigo JK
SIKU mbili baada ya mazunguzo baina Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana Bunge maalumu lisitishwe Oktoba 4 mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi...
10 years ago
Vijimambo05 Dec
CCM yajitenga zigo la Escrow
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nape-Nauyee--December5-2014.jpg)
Wakati vigogo waliotakiwa kuwajibika kutokana na kuhusika kwenye sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka kwenye akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakiendelea kujivuta miguu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kujiweka kando na suala hilo.
Wabunge kadhaa kutoka CCM wakiwamo mawaziri Sospeter Muhongo wa Nishati na Madini na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ni miongoni mwa...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete
10 years ago
Mwananchi02 May
JK amtwisha zigo Rais mpya