Maxime akwepa zigo la lawama Mtibwa
Kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amekwepa mzigo wa lawama kwa kusema wachezaji wake ndiyo wanayo majibu ya swali kwa nini mwenendo wa timu hiyo hauridhishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Maxime atishia kuiondoa Mtibwa
9 years ago
Habarileo23 Sep
Maxime aahidi neema zaidi Mtibwa
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amesema ana matarajio makubwa ya kuendelea kushinda mechi nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara.
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Maxime ataka kuweka rekodi Mtibwa Sugar
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Ivo: Nilibeba ‘zigo’ la lawama
9 years ago
Habarileo20 Nov
Mkwasa abeba lawama zigo la 7-0
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, Charles Mkwasa amekubali kubeba lawama za Watanzania kufuatia kipigo cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 huko Urusi uliofanyika usiku wa Jumanne wiki hii huko Bilda, Algeria.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Kerr atupia zigo la lawama nyota wake
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amewatupia lawama nyota wake kuwa ndio chanzo cha mwenendo mbaya wa klabu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kauli ya Kerr imekuja siku chache baada ya tetesi za kutumuliwa kwake kuzidi kushika kasi, kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo yamekuwa yakiiandama timu hiyo katika siku za karibuni.
Simba inashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa na jumla ya pointi 24, hadi sasa imefanikiwa...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa
Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]
The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.