Mkwasa abeba lawama zigo la 7-0
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, Charles Mkwasa amekubali kubeba lawama za Watanzania kufuatia kipigo cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 huko Urusi uliofanyika usiku wa Jumanne wiki hii huko Bilda, Algeria.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Kipa abeba lawama kipigo cha TZ Prisons
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Ivo: Nilibeba ‘zigo’ la lawama
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Kocha Phiri ajitwisha zigo la lawama
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Maxime akwepa zigo la lawama Mtibwa
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Kerr atupia zigo la lawama nyota wake
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amewatupia lawama nyota wake kuwa ndio chanzo cha mwenendo mbaya wa klabu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kauli ya Kerr imekuja siku chache baada ya tetesi za kutumuliwa kwake kuzidi kushika kasi, kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo yamekuwa yakiiandama timu hiyo katika siku za karibuni.
Simba inashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa na jumla ya pointi 24, hadi sasa imefanikiwa...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLafOPQWc3J5IDK5If2jR24-GlhLiLMFD8Q3I8zqwUwmcSReHz79FrVuVILw*Fyenp5DZDw-cj*nnv9Oqt3oMRtZx/BACKIJUMAA.jpg?width=650)
MKE WA MAFUFU ABEBA VIRAGO!
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Dk. Magufuli abeba ajenda ya Dk. Slaa
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.
Waandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Tasilima abeba mikoba ya Lipumba
Na Mwandishi Wetu
BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF),limeunda kamati ya watu watatu ambao wataongoza chama hicho kwa muda wa miezi sita.
Akitoa taarifa ya maazimio ya baraza hilo lililokutana mjini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa CUF, Abdul Kambaya, alisema baraza hilo litaongozwa na mwenyekiti wa muda, Twaha Tasilima.
Alisema Tasilima atasaidiwa na wajumbe wawili ambao ni Aboubakar Khamis Bakari na Severine Mwaijage.
“Kamati hii ndiyo itaongoza chama kwa muda wa miezi sita, kabla...