Kipa abeba lawama kipigo cha TZ Prisons
Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, David Mwamwaja amemtupia lawama kipa wake, Beno Kakulanya akidai kwamba alifanya uzembe wa hali ya juu hadi wakapoteza mchezo mabao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu iliyochezwa juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Oct
Kiiza awafariji Simba kipigo cha Prisons
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Hamis Kiiza amesema kufungwa na Tanzania Prisons ni changamoto kwao.
9 years ago
Habarileo25 Oct
Simba bado wanung’unika kipigo cha Prisons
KIUNGO wa Simba, Awadhi Juma amewataka wachezaji wenzake kusahau kipigo walichokipata kutoka kwa Prisons badala yake waweke nguvu kwenye mechi zao zinazofuata ikiwemo mchezo dhidi ya Coastal Union ya Tanga.
9 years ago
Habarileo20 Nov
Mkwasa abeba lawama zigo la 7-0
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’, Charles Mkwasa amekubali kubeba lawama za Watanzania kufuatia kipigo cha mabao 7-0 dhidi ya Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 huko Urusi uliofanyika usiku wa Jumanne wiki hii huko Bilda, Algeria.
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Rogders akubali lawama kipigo Liverpool
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.
Na Rabi Hume
Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.
Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Waziri Mkuu ni cheo cha lawama
RAIS mteule wa Awamu ta Tano, Dk John Magufuli anatarajiwa kuapishwa, na kisha kuunda Baraza lake
Maggid Mjengwa
9 years ago
Habarileo06 Dec
Bayern wajilaumu kipigo cha 3-1
MABINGWA Bayern Munich inabidi wajilaumu wenyewe kwa kupokea kichapo cha kwanza licha ya kutawala kipindi cha kwanza katika mchezo huo dhidi ya Borussia Moenchengladbach.