Waziri Mkuu ni cheo cha lawama
RAIS mteule wa Awamu ta Tano, Dk John Magufuli anatarajiwa kuapishwa, na kisha kuunda Baraza lake
Maggid Mjengwa
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA TUMBAKU MKOANI RUVUMA NA KUWASIMAMISHA KAZI VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU

Akizungumza jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa Vyama Vya Ushirika vya Mkoa wa Ruvuma, viongozi wa Mkoa pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Edwin Ngonyani ambaye ni...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Uwaziri Mkuu ni cheo tata?
WAKATI tukisubiria atangazwe waziri mkuu mpya ni vyema tukajikumbusha chimbuko la cheo hiki kikub
Joseph Magata
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (WATU WENYE ULEMAVU) ATEMBELEA KITUO CHA NUNGE, KIGAMBONI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi ametembelea Kituo cha Watu wenye Ulemavu na wasiojiweza cha Nunge Kigamboni Dar es Salaam Desemba 28, 2015 ili kuangalia mazingira na changamoto wanazokumbana nazo wakazi hao.
Afisa Mfawidhi Makazi ya Wazee wa kituo cha kulea watu wenye ulemavu cha Nunge Kigamboni, Bw. Ojuku Mgesi akimuonesha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ualemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (wa kwanza kushoto) banda linalotumiwa...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.

5 years ago
CCM Blog
WAZIRI MKUU: HAJARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA YA FORODHA

“Jengo hili kuta tayari zimeshaanza kuvimba, kwa nini majengo ya TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania) yanajengwa kwa kiwango cha chini na kwa nini mmeruhusu majengo haya yatumike,” amehoji Waziri Mkuu.
Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu amemtaka Afisa Miliki wa TRA, Bw. Haruna...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU, MAJALIWA AITISHA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Al-Sisi apata cheo cha juu jeshini
Kaimu Rais wa Misri Adly Mansour ametangaza kwamba mkuu wa jeshi ambae pia ni Waziri wa ulinzi, Generali Abdel Fattah Al-Sisi amepadishwa ngazi na kua Field Marshall{Cheo cha juu zaidi katika Jeshi.
5 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AMPANDISHA CHEO MKUU WA JKT, MEJA JENERALI CHARLES MBUGE


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania