SINA BIFU NA WEUSI - ROMA MKATOLIKI
Ibrahimu Musa ‘Roma Mkatoliki’ wakati akifanya mahojiano ndani ya studio za Global TV Online. MAKALA SIFAEL PAUL UKITIMBA mjengoni Global Publishers utaipenda. Mbali na magazeti yanayosomwa na wengi ndani na nje ya Bongo, utakuta na bonge la studio ya Global TV Online. Hapo ndipo mastaa hudondoka kila wiki kufunguka mambo mbalimbali juu ya sanaa wanazofanya. Hivi karibuni ndani ya Global TV Online ilikuwa zamu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini
Roma Mkatoli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’, tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.
Modewjiblog iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp, kwa kile kilichoelezwa na msanii...
11 years ago
GPLROMA MKATOLIKI ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Bongo524 Nov
Ngoma mbili mpya za Roma Mkatoliki zinakuja
11 years ago
GPLROMA MKATOLIKI AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/--DY2YLVzWP4/VYbcO1GHirI/AAAAAAAACKU/dBgNG6CBe6E/s72-c/leoooo.jpg)
11 years ago
Bongo506 Aug
New Song: Suma Mnazaleti Ft Roma — Mnazaleti Mkatoliki
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Maximo: Sina bifu na Kaseja
WAKATI kocha mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo akitarajia kuanza kibarua Jumatatu, amesema hana ‘bifu’ na kipa Juma Kaseja wala mchezaji yeyote hapa nchini. Maximo akiwa kocha wa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Kaseja: Sina bifu na Ivo
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja, amesema hana sababu ya kutoelewana wala kugombana na kipa wa Simba na timu ya taifa, Taifa Stars, Ivo Mapunda. Kauli hiyo ya Kaseja imekuja baada...