Ngoma mbili mpya za Roma Mkatoliki zinakuja
Roma Mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo kabla mwaka haujamalizika. Miongoni mwa ngoma hizi ni pamoja na ile iitwayo One Two, One Two itakayokuwa ikiendana na siku yake ya kuzaliwa. Roma ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuwaridhisha mashabiki wa muziki. “Project zipo zaidi ya moja ili kufungua mwaka na nguvu mpya, kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wimbo wa ‘VIVA ROMA VIVA’ wa Roma Mkatoliki watishiwa kufungiwa nchini
Roma Mkatoli
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam)- Ndani ya masaa 24 baada ya kuachiwa kwa kibao kipya cha Msanii maarufu wa Bongo fleva nchini, Roma Mkatoliki ‘Roma Tongwe’ wimbo wa Viva Roma Viva’, tayari msanii huyo ametishiwa na kuonywa vikali na mamlaka husika kwa madai kuwa wataufungia.
Modewjiblog iliweza kushuhudia posti ya msanii huyo iliyonukuliwa kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo ile ya twitter na Instagram, facebook na Whatsapp, kwa kile kilichoelezwa na msanii...
11 years ago
GPLROMA MKATOLIKI ATINGA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLSINA BIFU NA WEUSI - ROMA MKATOLIKI
11 years ago
GPLROMA MKATOLIKI AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/--DY2YLVzWP4/VYbcO1GHirI/AAAAAAAACKU/dBgNG6CBe6E/s72-c/leoooo.jpg)
11 years ago
Bongo506 Aug
New Song: Suma Mnazaleti Ft Roma — Mnazaleti Mkatoliki
10 years ago
GPLWAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Bongo514 Dec
Dully awakusanya Diamond, Christian Bella na Mzee Yusuf kwenye ngoma zake mbili mpya
![Dully](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Dully-300x194.jpg)
Baada ya kuachia kolabo yake akiwa na vijana wa Yamoto Band, Dully Sykes anatarajia kuachia kolabo zake nyingine mbili ambapo moja akiwa na Diamond na nyingine akiwa na Christian Bella na Mzee Yusuf.
Akizungumza na kipindi cha Siz Kitaa kinachoruka kupitia Clouds TV, Dully alisema tayari ameshafanya nyimbo nyingi akiwa peke yake na wakati huu ni wa kolabo.
“Mimi nimefanya nyimbo nyingi sana mwenyewe na nyingi zimefanya vizuri. Kwahiyo sasa hivi mimi natoa nyimbo ambazo nimeshirikiana. Baada...
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma