IVO, CANNAVARO WATEMWA STARS, MAKIPA WOTE WA AZAM WACHUKULIWA

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amewaacha kipa Ivo Mapunda wa Simba SC na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga SC katika kikosi chake cha wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu. Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 May
Cannavaro, Kiemba watemwa Taifa Stars
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Nyota watano watemwa Taifa Stars
11 years ago
GPL
Cannavaro aikosa... Azam FC
9 years ago
Habarileo06 Dec
Ivo asema Azam FC habari nyingine
Mohamed Akida KIPA mpya wa Azam FC, Ivo Mapunda amesema hajutii uamuzi wake wa kujiunga na vinara hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwani anaamini ndiyo timu bora Afrika Mashariki na Kati.
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Cannavaro: Beki Taifa Stars tatizo
11 years ago
TheCitizen20 Apr
Taifa Stars coach drops Mapunda and ‘Cannavaro’
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Azam yamaliza kwa Diouf, Ivo naye ndani ya Chamazi