Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cannavaro, Kiemba watemwa Taifa Stars

>Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’,   Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na kiungo Amri Kiemba wameachwa katika  kikosi cha timu hiyo kinachotarajiwa kuondoka leo jioni kwenda Afrika  Kusini kushiriki mashindano ya Kombe la Cosafa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

IVO, CANNAVARO WATEMWA STARS, MAKIPA WOTE WA AZAM WACHUKULIWA

Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amewaacha kipa Ivo Mapunda wa Simba SC na beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga SC katika kikosi chake cha wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho (Aprili 20 mwaka huu) kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu. Beki wa kati wa Yanga, Nadir Haroub...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota watano watemwa Taifa Stars

Kocha msaidizi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Hemmed Morocco ametangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaocheza na Malawi huku akiwaengua wachezaji watano waliokuwapo kwenye kikosi kilichoivaa Nigeria mwezi uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Cannavaro: Beki Taifa Stars tatizo

>Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema safu yao ya ulinzi imekuwa ikifanya makosa mengi yanayoigharimu timu hiyo, lakini amewatoa hofu mashabiki kuwa hali hiyo haitajirudia kwenye mchezo ujao dhidi ya Msumbiji.

 

11 years ago

TheCitizen

Taifa Stars coach drops Mapunda and ‘Cannavaro’

Taifa Stars’ stand-in coach, Salum Madadi, has unveiled a 23-member squad for two international friendly matches against Burundi and Malawi.

 

10 years ago

GPL

Cannavaro, Abdul wazichapa kavukavu Taifa

NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Musa Mateja,Dar es Salaam
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, juzi Jumatano alijikuta akivaana na beki mwenzake wa timu moja, Juma Abdul na kurushiana makonde walipokuwa wakiingia kwenye vyumba vya kupumzika wakati wa mchezo dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa. Mtiririko wa tukio hilo ambalo lilikuwa kama filamu, katika mechi hiyo ambayo Yanga...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani