Cannavaro, Abdul wazichapa kavukavu Taifa
![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJJ03nmrYCbFOwREdT0pTOCwU8LKpiWW0C9VACeOvFV-lUyGs*AP5uozNULD9tf2fQnjCEXoOpUGJ2-XWZRP-lXU/can.gif?width=650)
NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Musa Mateja,Dar es Salaam NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, juzi Jumatano alijikuta akivaana na beki mwenzake wa timu moja, Juma Abdul na kurushiana makonde walipokuwa wakiingia kwenye vyumba vya kupumzika wakati wa mchezo dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa. Mtiririko wa tukio hilo ambalo lilikuwa kama filamu, katika mechi hiyo ambayo Yanga...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mxD6t1Ac7x8ehIwVYG3nYWjhZHLjXvHSDZ6hMMJjjQqX7daP6XTIe5uHSp-HXtypVzYsdGR4CmFVc-80LuC08Hd/Bodaboda.gif?width=650)
BODABODA WAZICHAPA KAVUKAVU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dXXpVI1DQszZWGKtoc-l5DIuSMSzqHEB9froaqqKrRNFhdiUtSeZcFnGwbT9dhw1KOlzw7jmoU62jWj6tp1uCQ4/BACKRISASIJMOSI.gif?width=650)
NJEMBA WAZICHAPA KAVUKAVU STENDI
10 years ago
Mtanzania20 Jan
ACT wazichapa kavukavu Dar
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
VURUGU zimetokea jana kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini baada ya makundi yanayopingana ndani ya Chama cha ACT-Tanzania kukutana ana kwa ana katika ofisi hiyo kwa ajili ya kikao cha usuluhishi.
Baada ya kukutana kwa makundi hayo, ghafla walitokea vijana wanaodaiwa kukodiwa na Mwenyekiti aliyesimamishwa, Kidawi Limbu na kumvamia Katibu Mkuu wa muda wa chama hicho, Samson Mwigamba.
Vurugu hizo zimetokea ikiwa ni siku chache baada ya Halmashauri...
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Albino wazichapa kavukavu Ikulu
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wamepigana ngumi na mateke wakigombea kuingia kumwona Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ambapo lilianzia kwenye eneo la mapokezi Ikulu mara baada ya walemavu hao kukaguliwa na kuwekwa kwenye chumba maalumu cha kupumzikia wageni.
Baada ya muda, ofisa wa Ikulu alifika kwenye chumba walipokuwa walemavu hao akiwa...
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Vijana wazichapa kavukavu eneo la stendi ya zamani manispaa ya Singida wakigombea abiria
Vijana wawili walikutwa na Kamera yetu wakipigana ngumi kavukavu zisizo kuwa na kiingilio katika eneo la stendi ya zamani wakigombea abiria wanaosafiri kuelekea Wilaya ya Ikungi, hata hivyo katika ngumi hizo zisizopimwa uzito , ziliishia kutoana damu kabla ya kukamatwa na askari na kupelekwa kituoni kwa kosa na kupigana hadharani.(PICHA NA HILLARY SHOO).
10 years ago
Mwananchi13 May
Cannavaro, Kiemba watemwa Taifa Stars
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Cannavaro: Beki Taifa Stars tatizo
11 years ago
TheCitizen20 Apr
Taifa Stars coach drops Mapunda and ‘Cannavaro’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZEAMmF8tfAYU95Vjkiox68VyY8kGdtTDJs-eUxlYaFsztRkMG3JfnvGX6vlKjqmdnEzbRG2DPNJW0WmgPLvajN/dj.jpg)
DJ FETTY AZITWANGA KAVUKAVU