NJEMBA WAZICHAPA KAVUKAVU STENDI

Mashaka kisusi NJEMBA wawili ambao ilisemekana ni wapiga debe, wamejikuta wakizichapa kavukavu wakigombea mzigo wa abiria. Tukio hilo lililojaza watu ambao walikuwa wakishangilia wakati njemba hao ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakizichapa, lilitokea hivi karibuni majira ya saa 6 mchana ndani ya kituo cha Mabasi cha Nyegezi, jijini Mwanza. Â ...Soma zaidi===>http://goo.gl/p3Wzfx ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Vijana wazichapa kavukavu eneo la stendi ya zamani manispaa ya Singida wakigombea abiria
Vijana wawili walikutwa na Kamera yetu wakipigana ngumi kavukavu zisizo kuwa na kiingilio katika eneo la stendi ya zamani wakigombea abiria wanaosafiri kuelekea Wilaya ya Ikungi, hata hivyo katika ngumi hizo zisizopimwa uzito , ziliishia kutoana damu kabla ya kukamatwa na askari na kupelekwa kituoni kwa kosa na kupigana hadharani.(PICHA NA HILLARY SHOO).
10 years ago
GPL
BODABODA WAZICHAPA KAVUKAVU
10 years ago
Mtanzania20 Jan
ACT wazichapa kavukavu Dar
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
VURUGU zimetokea jana kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini baada ya makundi yanayopingana ndani ya Chama cha ACT-Tanzania kukutana ana kwa ana katika ofisi hiyo kwa ajili ya kikao cha usuluhishi.
Baada ya kukutana kwa makundi hayo, ghafla walitokea vijana wanaodaiwa kukodiwa na Mwenyekiti aliyesimamishwa, Kidawi Limbu na kumvamia Katibu Mkuu wa muda wa chama hicho, Samson Mwigamba.
Vurugu hizo zimetokea ikiwa ni siku chache baada ya Halmashauri...
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Albino wazichapa kavukavu Ikulu
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wamepigana ngumi na mateke wakigombea kuingia kumwona Rais Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la aina yake lilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ambapo lilianzia kwenye eneo la mapokezi Ikulu mara baada ya walemavu hao kukaguliwa na kuwekwa kwenye chumba maalumu cha kupumzikia wageni.
Baada ya muda, ofisa wa Ikulu alifika kwenye chumba walipokuwa walemavu hao akiwa...
10 years ago
GPL
Cannavaro, Abdul wazichapa kavukavu Taifa
5 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO
NA DENIS MLOWE,IRINGA
STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.
Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...
11 years ago
GPL
DJ FETTY AZITWANGA KAVUKAVU
10 years ago
Bongo503 Feb
New Video: Ramso Ramsey Ft Gnako & Sajophine – Kavukavu
10 years ago
GPL
MISS, MUMEWE WAZICHAPA