KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO
![](https://1.bp.blogspot.com/-nY7zc2FvKic/Xs4Y98FiuKI/AAAAAAALrq8/-uJWKnjhTUc21KSmgQ5NHdaVxRsHeioJQCLcBGAsYHQ/s72-c/furaha.jpg)
NA DENIS MLOWE,IRINGA
STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.
Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Waziri azuia ujenzi stendi ya Igumbilo
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Binilith Mahenge, ameuzuia kwa muda uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kujenga stendi mpya ya mabasi yaendayo mikoani katika...
11 years ago
Habarileo26 May
Serikali yazuia Iringa kujenga stendi Igumbilo
SERIKALI imefanya uamuzi mgumu kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuzuia mpango wake wa kujenga stendi mpya ya mabasi ya mikoani katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa mazingira la Igumbilo, mjini hapa.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-MKAB4A1zsIU/XuPm9hg5fxI/AAAAAAABMV0/RvznYIhH92MV1xGVqpyhXuiyT84XexGRACLcBGAsYHQ/s72-c/CSR%2BSingida%2B%25281%2529.png)
NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWIA MIKONO KUJIKINGA NA CORONA MKOANI SINGIDA
![](https://1.bp.blogspot.com/-MKAB4A1zsIU/XuPm9hg5fxI/AAAAAAABMV0/RvznYIhH92MV1xGVqpyhXuiyT84XexGRACLcBGAsYHQ/s400/CSR%2BSingida%2B%25281%2529.png)
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Vijana wazichapa kavukavu eneo la stendi ya zamani manispaa ya Singida wakigombea abiria
Vijana wawili walikutwa na Kamera yetu wakipigana ngumi kavukavu zisizo kuwa na kiingilio katika eneo la stendi ya zamani wakigombea abiria wanaosafiri kuelekea Wilaya ya Ikungi, hata hivyo katika ngumi hizo zisizopimwa uzito , ziliishia kutoana damu kabla ya kukamatwa na askari na kupelekwa kituoni kwa kosa na kupigana hadharani.(PICHA NA HILLARY SHOO).
11 years ago
MichuziSTENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA
9 years ago
MichuziABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-x7NE7xv6rxU/XsDw6DivcJI/AAAAAAALqhY/4p9J9HnDEIAaREbstQZGz_lM7VrTAPtlACLcBGAsYHQ/s72-c/2fa7e905-e760-4795-b706-277a7a173e4d.jpg)
KAMPUNI YA QWIHAYA YAUNGA MKONO SERIKALI VIFAA KINGA VYA CORONA STENDI YA MAFINGA
Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto la miili yao.
Wananchi hao wakiwepo wapiga debe na wafanyabiashara ndogo ndogo walimteua mwenzao, akajifunza kukitumia na baadae walipanga foleni ili kila mmoja apime kujua joto la mwili wake.
Kifaa hicho, matenki mawili ya kuhifadhia maji na vitakasa mikono ni miongoni mwa...
5 years ago
MichuziKAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...
11 years ago
MichuziNEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA