Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA

Wakazi wa jiji la Mbeya wamejitokeza kwa wingi katika stendi kuu mpya iliopo eneo la nane nane RRM kwaajili ya kuomba maeneo ya kufanyia biashara zao katika eneo hilo.Wageni kutoka mikoani mnataarifiwa kua stendi kuu ya jiji la Mbeya kwa sasa ipo eneo la nanenane (karibu na Uyole) na si mjini soko matola tena kama iliyokuwa hapo awali,lakini si wa mikoani tu bali hata baadhi ya wilaya za jiji la Mbeya.Hivyo ukifik jijini Mbeya usishangae kuambia kuwa basi linaishia hapo eneo la Nane...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO



NA DENIS MLOWE,IRINGA

STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.

Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...

 

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

10 years ago

BBCSwahili

WTC yafunguliwa rasmi jijini New York

Kituo cha Biashara cha Kimataifa, WTO kimefunguliwa kwa shughuli za kibiashara mjini New York, Marekani

 

11 years ago

Habarileo

Stendi mpya ya Ubungo yaanza kutumika

MAMLAKA YA Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imesema Kituo cha Ubungo kilichoko Mawasiliano Towers kitaanza kutumika rasmi kuanzia leo baada ya kukamilika kwa ujenzi wa lami, choo, Kituo cha Polisi, taa pamoja na vibao vinavyoonesha eneo basi linapokwenda.

 

9 years ago

Mwananchi

DED Kahama afafanua ujenzi stendi mpya

Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga, imetoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa eneo la Mbulu baada ya iliyopo kulemewa na wingi wa magari, hali inayosababisha kuwapo kwa msongamano.     

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

mambo yazidi kunoga stendi ndogo ya mabasi Ubungo jijini Dar

Wafanyabiashara ndogondogo (MACHINGA), wakiendelea kufanya biashara zao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kwenye kituo cha daladala ubungo na pembezoni mwa barabara jijini ya Morogoro jijini Dar es Salaam, hivyo kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo,eneo hilo lilipigwa marufuku kwa shughuli za aina yoyote na Mansipaa ya Kinondoni lakini jamaa kama wamekaidi amri ile halali kabisa.Picha na Philemon Solomon,Globu ya Jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani