Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WTC yafunguliwa rasmi jijini New York

Kituo cha Biashara cha Kimataifa, WTO kimefunguliwa kwa shughuli za kibiashara mjini New York, Marekani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA (WTC) CHAFUNGULIWA RASMI NEW YORK, MAREKANI

Taswira za Kituo cha Biashara cha Kimataifa, WTC. KITUO cha Biashara cha Kimataifa, WTC kimefunguliwa rasmi kwa shughuli za kibiashara jijini New York nchini Marekani jana. Kituo hicho kimefunguliwa baada ya miaka 13 tangu majengo ya awali kulipuliwa katika shambulio la kigaidi lililotokea Septemba 11, 2001. Majengo ya kituo hicho yana thamani ya dola za Kimarekani bilioni 3.8 na yamechukua muda wa miaka nane… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilabu ya watoto yafunguliwa N.York

Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 imefunguliwa rasmi katika mji wa New York nchini Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

MICHEZO YA SHIMIWI YAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

Jopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani

Jopo la Watu Mashuhuri la Umoja wa Mataifa la Kupendekeza Namna Bora ya Dunia Kukabiliana na Majanga ya Afya limekamilisha kazi yake wiki iliyopita jijini New York. Jopo hilo linaloongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete lilikabidhiwa jukumu hilo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon tarehe 2 Aprili, 2015 na kupewa muda wa kuanzia Mei hadi Desemba 2015 kukamilisha kazi yake.
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Safari Pool Taifa yafunguliwa rasmi mjini Moshi,Kilimanjaro leo

Katiba Tawala wa Wilaya ya Moshi mjini,Remida Ibrahim(wa pili kulia) akicheza kuashilia uzinduzi wa fainali za mashindano ya Pool Taifa yajulikanayo kama “Safari National Pool Competition 2014” yanayofanyika katika Ukumbi wa Kuringe Mkoani Kilimanjaro.Kutoka kushoto ni Katibu wa chama cha Pool Taifa(TAPA), Amos Kafwinga,Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Makamu Mwenyekiti wa TAPA, Fred Mushi. Baadhi ya Wachezaji wa Pool wakiwa na zawadi mbalimbali wakielekea Hospitali ya...

 

10 years ago

Michuzi

UNIVERSAL BODY FITNESS YAFUNGULIWA RASMI JENGO LA SHAMO TOWERS,MBEZI BEACH

Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki.Makofi na shangwe za furaha zilisikika mara baada ya Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo kukata utepe wa kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Universal Body Fitness yafunguliwa rasmi jengo la Shamo Towers, Mbezi Beach

Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki. Makofi na shangwe za furaha zilisikika mara baada ya Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo kukata utepe wa kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la...

 

11 years ago

Michuzi

STENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA

Wakazi wa jiji la Mbeya wamejitokeza kwa wingi katika stendi kuu mpya iliopo eneo la nane nane RRM kwaajili ya kuomba maeneo ya kufanyia biashara zao katika eneo hilo.Wageni kutoka mikoani mnataarifiwa kua stendi kuu ya jiji la Mbeya kwa sasa ipo eneo la nanenane (karibu na Uyole) na si mjini soko matola tena kama iliyokuwa hapo awali,lakini si wa mikoani tu bali hata baadhi ya wilaya za jiji la Mbeya.Hivyo ukifik jijini Mbeya usishangae kuambia kuwa basi linaishia hapo eneo la Nane...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MASHINDANO YA KUPIGA KASIA KWA UTHAMINI WA BIA YA BALIMI LAGER KANDA YA ZIWA YAFUNGULIWA LEO RASMI KIGOMA

 Timu ya Nyika stars wakimalizia kupiga kasia kwenye Ziwa Tanganyika ambao ni mabingwa wa Mkoa na watauwakilisha Mkoa kwenye mashindano ya kanda tarehe 6 Novemba jijini Mwanza Washiriki wanawake wakipiga kasia katika mashindano ya kupiga kasia kwa kutimia mitumbwi ndani ya ziwa Tanganyika Washindani wakijiandaa na mchuano Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ramadhani ManenoKiongozi wa washindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kutoka kikundi cha Katonga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani