Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani

Jopo la Watu Mashuhuri la Umoja wa Mataifa la Kupendekeza Namna Bora ya Dunia Kukabiliana na Majanga ya Afya limekamilisha kazi yake wiki iliyopita jijini New York. Jopo hilo linaloongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete lilikabidhiwa jukumu hilo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon tarehe 2 Aprili, 2015 na kupewa muda wa kuanzia Mei hadi Desemba 2015 kukamilisha kazi yake.
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWILI WA MZEE LUANGISA ULIVYOAGWA JIJINI NEW YORK, MAREKANI

Waombolezaji wakiaga mwili wa Mzee Luangisa wakati wa ibada iliyofanyika Jumamosi ya Mei 30, 2015 New York, Marekani. Mtoto wa marehemu, Kwame Luangisa akitoa wasifu wa baba yake.…

 

9 years ago

Michuzi

JK KATIKA MKUTANO WA 70 WA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK, MAREKANI, LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 70 wa Umoja wa Maiataifa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi  Liberata Mulamula  Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen 

 Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen

 Rais...

 

9 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yaandaa maandamano jijini new york

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) inapenda kuwaarifu Wazanzibari, Watanzania na Wapenda Amani wote ulimwenguni kuhudhuria katika maandamano ya kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015. Maandamano hayo yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York kuanzia saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM)....

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa Jijini New York, MAREKANI

unnamed (7)Rais Kikwete akiwa na Rais Filipe Jacinto Nyusi wa Mzumbiji na mawaziri wao wa nchi za nje katika mkutano huo mjini New York.

unnamed (2)Rais Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Lars Loekke Rasmussen 

unnamed (3)Rais Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Finland Mama Tarja Halonen

unnamed (5)Rais Kikwete na ujumbe wa Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee,  Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani