Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA MZEE LUANGISA ULIVYOAGWA JIJINI NEW YORK, MAREKANI

Waombolezaji wakiaga mwili wa Mzee Luangisa wakati wa ibada iliyofanyika Jumamosi ya Mei 30, 2015 New York, Marekani. Mtoto wa marehemu, Kwame Luangisa akitoa wasifu wa baba yake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK

Mzee Samuel Luangisa enzi za uhai wake. Jumuiya ya Watanzania New York pamoja na Familia ya Luangisa tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu Mzee Luangisa kilichotokea jana Jumatatu Mei 25,2015 saa tano asubuhi. Msiba utakuwa nyumbani kwa Bwana Peter Luangisa,374 Hawthorne Terrace, Mount Vernon. NY,10552. Uongozi wa Jumuiya New York unatoa pole kwa wafiwa na Kama ilivyo Desturi yetu wanajumuiya tuungane na wafiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMUAGA MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK

Naibu balozi bi Maura Mwingira akitoa pole kwa watoto wa Mzee Luangisa, Bi Maura Mwingira kwa niaba ya balozi alipata nafasi ya kuongea machache mbele ya Watanzania waliojitokeza kwenye misa hiyo ya kumuombea marehemu mzee Luangisa pamoja na kuaga mwili wake tayari kwa safari ya kwenda nyumbani Bukoba Tanzania kwa mazishi.Mtoto wa marehem Kwame akitoa wasifu wa mzee Luangisa wasifu huo uliwatoa machozi watu kutokana jinsi mzee Luagisa alivyokuwa mtu mwenye moyo wa kutoa kwakile alichonacho...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE LUANGISA ILIYOFANYIKA NEW YORK

Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akitoa pole kwa watoto wa Mzee Luangisa kwa niaba ya balozi alipata nafasi ya kuongea machache mbele ya Watanzania waliojitokeza kwenye misa hiyo ya kumuombea marehemu mzee Luangisa pamoja na kuaga mwili wake tayari kwa safari ya kwenda nyumbani Bukoba Tanzania kwa mazishi.Mtoto wa marehem Kwame akitoa wasifu wa mzee Luangisa wasifu huo uliwatoa machozi watu kutokana jinsi mzee Luagisa...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI WA MALAWI NCHINI FLOSSIE CHIDYAONGA ULIVYOAGWA JIJINI DAR

Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga ulivyoagwa katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA ULIVYOAGWA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence...

 

9 years ago

Michuzi

Jopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani

Jopo la Watu Mashuhuri la Umoja wa Mataifa la Kupendekeza Namna Bora ya Dunia Kukabiliana na Majanga ya Afya limekamilisha kazi yake wiki iliyopita jijini New York. Jopo hilo linaloongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete lilikabidhiwa jukumu hilo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon tarehe 2 Aprili, 2015 na kupewa muda wa kuanzia Mei hadi Desemba 2015 kukamilisha kazi yake.
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...

 

5 years ago

CCM Blog

MWILI WA GEORGE FLOYD ULIVYOAGWA, ASKARI WALIPIGIA MAGOTI JENEZA


Kutoka Chuo Kikuu cha North Central mjini Minneapolis, Marekani imefanyika Ibada ya kuuaga mwili wa George Floyd, Mmarekani mweusi aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi na kusababisha maandamano makubwa Marekani na Nchi nyingine>>”Askari wamepiga magoti wakati jeneza likiingia ukumbini”Ibada hiyo ya kumbukumbu imeongozwa na Mwanaharakati wa haki za kiraia Mchungaji Al Sharpton, ilikuwepo Familia ya Floyd, lakini pia Gavana wa Minnesota Tim Walz, Seneta wa Minnesota Amy Klobuchar na Meya wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAFARA WENYE MWILI WA MAREHEMU SAMUEL LUANGISA WAACHA HUZUNI BUKOBA



Gari lenye mwili wa marehemu Samuel Luhangisa lililosindikizwa na msafara mrefu wa magari,na pikipiki nyuma yake limeacha huzuni kubwa kwa wakazi wa mji wa Bukoba.Msafara huo ulikatiza katika viunga vya mji huo ikiwa ni safari yake ya mwisho kabla ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 3/Juni/2015.Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera)Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani