MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI
Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.
Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMISA YA KUMUAGA MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK
10 years ago
VijimamboMisa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa
Saturday August 8, 2015.
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),
Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rKpUzYPoycU/VWO1U2xDyXI/AAAAAAADoq8/BZ_jwRG8GDY/s72-c/LUA.jpg)
MISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-rKpUzYPoycU/VWO1U2xDyXI/AAAAAAADoq8/BZ_jwRG8GDY/s640/LUA.jpg)
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015kuanzia Saa: 1pm - 5pm
Address: LEE'S Funeral Home L.L.C160 Fisher AvenueWhite Plains, NY 10606
Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence:
374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Mpe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nloXItybkA1d8wDEwbI3zxkyUmY5y-Hr-x*FWzfhoM-8x9tjklyj3aY7Jln8igC06KY9YAcFDcLiksjjjMLjCh8ZxIFzno90/luangisa.jpg)
TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK
Mzee Samuel Luangisa enzi za uhai wake. Jumuiya ya Watanzania New York pamoja na Familia ya Luangisa tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee wetu Mzee Luangisa kilichotokea jana Jumatatu Mei 25,2015 saa tano asubuhi. Msiba utakuwa nyumbani kwa Bwana Peter Luangisa,374 Hawthorne Terrace, Mount Vernon. NY,10552. Uongozi wa Jumuiya New York unatoa pole kwa wafiwa na Kama ilivyo Desturi yetu wanajumuiya tuungane na wafiwa...
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE LUANGISA ILIYOFANYIKA NEW YORK
10 years ago
GPLMWILI WA MZEE LUANGISA ULIVYOAGWA JIJINI NEW YORK, MAREKANI
Waombolezaji wakiaga mwili wa Mzee Luangisa wakati wa ibada iliyofanyika Jumamosi ya Mei 30, 2015 New York, Marekani. Mtoto wa marehemu, Kwame Luangisa akitoa wasifu wa baba yake.…
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Hih0CRx6ofw/VW3CvctdCKI/AAAAAAAAK-s/k3EGzjIRe60/s72-c/SI%2B2.jpg)
MSAFARA WENYE MWILI WA MAREHEMU SAMUEL LUANGISA WAACHA HUZUNI BUKOBA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hih0CRx6ofw/VW3CvctdCKI/AAAAAAAAK-s/k3EGzjIRe60/s640/SI%2B2.jpg)
Gari lenye mwili wa marehemu Samuel Luhangisa lililosindikizwa na msafara mrefu wa magari,na pikipiki nyuma yake limeacha huzuni kubwa kwa wakazi wa mji wa Bukoba.Msafara huo ulikatiza katika viunga vya mji huo ikiwa ni safari yake ya mwisho kabla ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 3/Juni/2015.Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera)Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na...
10 years ago
MichuziMISA YA KUMBUKUMBU YA COL. CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIOMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboMISA YA KUMBUKUMBU YA COL CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania