Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISA YA KUMBUKUMBU YA COL CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa.Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri Filbert Tairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava iliyofanyika siku ya Jumampili Januari 4, 2015 katika kanisa la Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore.Derek Mwihava akisoma somo la kwanza katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao iliyofanyika Baltimore katika kanisa la Mt. Edward siku ya Jumapili Januari 4, 2015.Neema Tembele akisoma somo la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA COL. CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIOMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa.Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri FilbertTairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava iliyofanyika siku ya Jumampili Januari 4, 2015 katika kanisa la Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore.Derek Mwihava akisoma somo la kwanza katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao iliyofanyika Baltimore katika kanisa la Mt. Edward siku ya Jumapili Januari 4, 2015.Neema Tembele akisoma somo la...

 

10 years ago

GPL

MISA YA KUKMBUKUMBU YA COL CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIOMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI‏

Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa. Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri FilbertTairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava iliyofanyika siku ya Jumampili Januari 4, 2015 katika kanisa la Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore.…

 

10 years ago

Vijimambo

Misa ya Kumbukumbu ya Col. Clement Xavier Mwihava.

 Col. Clement Xavier Mwihava enzi ya uhai wake
Familia ya Mwihava inapenda kuwakaribisha nyote, kwenye misa ya kumbukumbu ya baba yao mpendwa. Col. Clement Xavier Mwihava (baba yao mzazi Cane Mwihava na Derick Mwihava) Aliye fariki Tanzania December 26, 2014Misa itafanyika Jumapili January 4, 2015.Kuanzia saa nane mchana (2pm) katika kanisa la St. Edwards Roman Catholic Church  Anuani ni 901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, USA
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana naCane Mwihava 301 806...

 

9 years ago

Michuzi

MISA TAKATIFU YA KUMBUKUMBU YA NYAMITI LUSINDE BALTIMORE, MARYLAND

 Picha ya mpendwa wetu Nyamiti Ivan Lusinde ikiwa kanisani siku ya Jumapili Novemba 22, 2015 siku ilikofanyika misa takatifu ya kumbukumbu na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa ameongozana na mkewe pamoja na mwanae. Nyamiti alikua mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani alipatwa na mauti alipokua likizo Tanzania katika hospitali ya Kariuki alipokua amekwenda kwa matibabu baada ya kuugua ghafla alipokua huko na baadae kuaga Dunia Novemba...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini MarekaniPadri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika leo Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa shukurani zake kwa mapadri waliongoza misa ya Thanksgiving na kusisitiza umoja...

 

10 years ago

GPL

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND‏

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika jana Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani Padri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika jana Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI,Maryland nchini Marekani

Padri Evod Shao (kulia) akiongoza  misa ya shukurani ya Edgar Mutta  (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokua yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014.Judith na Liberata (kulia) wakifuatilia...

 

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.Elius na Prisca wakipata chakula.Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.Watoto wakitoa baraka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani