TASWIRA YA MISA YA KUMUOMBEA MZEE LUANGISA ILIYOFANYIKA NEW YORK
Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akitoa pole kwa watoto wa Mzee Luangisa kwa niaba ya balozi alipata nafasi ya kuongea machache mbele ya Watanzania waliojitokeza kwenye misa hiyo ya kumuombea marehemu mzee Luangisa pamoja na kuaga mwili wake tayari kwa safari ya kwenda nyumbani Bukoba Tanzania kwa mazishi.
Mtoto wa marehem Kwame akitoa wasifu wa mzee Luangisa wasifu huo uliwatoa machozi watu kutokana jinsi mzee Luagisa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMISA YA KUMUAGA MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK
10 years ago
MichuziMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI
Wanafamilia wakifuatilia misa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboMisa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa
Saturday August 8, 2015.
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),
Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rKpUzYPoycU/VWO1U2xDyXI/AAAAAAADoq8/BZ_jwRG8GDY/s72-c/LUA.jpg)
MISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-rKpUzYPoycU/VWO1U2xDyXI/AAAAAAADoq8/BZ_jwRG8GDY/s640/LUA.jpg)
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015kuanzia Saa: 1pm - 5pm
Address: LEE'S Funeral Home L.L.C160 Fisher AvenueWhite Plains, NY 10606
Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence:
374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Mpe...
10 years ago
GPLMWILI WA MZEE LUANGISA ULIVYOAGWA JIJINI NEW YORK, MAREKANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nloXItybkA1d8wDEwbI3zxkyUmY5y-Hr-x*FWzfhoM-8x9tjklyj3aY7Jln8igC06KY9YAcFDcLiksjjjMLjCh8ZxIFzno90/luangisa.jpg)
TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK
10 years ago
VijimamboTASWIRA NYUMBANI KWA VICKY MT VERNON WAKATI YA MISA YA KUMUOMBEA KAKA YAKE ALIEFARIKI HUKO TANZANIA MWEZI ULIOPITA
PICHA KWA HISANI YA...
10 years ago
VijimamboTASWIRA YA KWENYE DUA YA KUMUOMBEA BABA MZAZI WA MKE WA BWANA KIBODYA MZEE ABBAS K. MANG'ULO
9 years ago
MichuziIBADA YA KUMUOMBEA MAMA KATENG'ANYENYI ILIYOFANYIKA SILVER SPRING MD
Broadcast live streaming video on Ustream
Broadcast live streaming video on Ustream
Padri Lehandly Kimario akiongoza ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama na bibi yetu Bettisheba Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mtoto wa marehemu Felicia Simms akisoma wasifu wa marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Keteng'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland...