TASWIRA YA KWENYE DUA YA KUMUOMBEA BABA MZAZI WA MKE WA BWANA KIBODYA MZEE ABBAS K. MANG'ULO
Bwana Kibodya katikati wakati wa dua ya kumuombea baba mkwe wake mzee Abbas K. Mang'ulo aliefariki huko Tanzania wiki iliyopita. Dua hiyo iliyofanyika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Mass na kuudhuliwa na dungu pamoja na marafiki kutoka Miji ya Boston, New York, New Jersey na Springfield yenyewe.
Huyu hapa ni Bwana Kibodya akitanguliza shukrani kwa niaba ya mke wake mbele ya watu waliojitokeza kwenye dua hiyo.
Khajat Swalha Kibodya, mke wa bwana Isaac Kibodya akionekana...
Vijimambo