Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete na Jopo la watu mashuhuri waanza kazi New York

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Jopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani

Jopo la Watu Mashuhuri la Umoja wa Mataifa la Kupendekeza Namna Bora ya Dunia Kukabiliana na Majanga ya Afya limekamilisha kazi yake wiki iliyopita jijini New York. Jopo hilo linaloongozwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete lilikabidhiwa jukumu hilo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki moon tarehe 2 Aprili, 2015 na kupewa muda wa kuanzia Mei hadi Desemba 2015 kukamilisha kazi yake.
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakubwa waunga mkono kazi ya Jopo la Rais Kikwete

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.

Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza katika Makao ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Geneva ni pamoja na yeye na wanajopo...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Januari 16, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea Iliyofanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es SalaamRais Kikwete amewashukuru wajumbe wa Kamati Maalum Inayojitegemea iliyofanya tathmini ya utekelezaji wa Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN). Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu,...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile waanza mjini Nairobi,Kenya

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya ambaye alikuwa ni msemaji mkuu katika Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile (4th Nile Basin Development Forum) unaofanyika jijini Nairibi,Kenya akiwasilisha mada katika mkutano huo.Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano nhuo.Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile waliohudhuria Mkutano wa Nne Jopo la Maendeleo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu mashuhuri walaani udukuzi

Wiki jana taarifa za watu mashuhuri zilifichuliwa kupitia akauti zao za iCloud huku picha za kibinafsi kuchapishwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani