Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile waanza mjini Nairobi,Kenya
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya ambaye alikuwa ni msemaji mkuu katika Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile (4th Nile Basin Development Forum) unaofanyika jijini Nairibi,Kenya akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano nhuo.
Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile waliohudhuria Mkutano wa Nne Jopo la Maendeleo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE, MJINI DODOMA LEO
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Pinda afungua mkutano wa mawaziri wa nchi za Bonde la Mto Nile
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gc198qit1Ks/VFUcpZVwy4I/AAAAAAAGutw/gbJf7mu6O3I/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Profesa Mwandosya ahitimisha ziara yake ya siku sita nchini Ethiopia kwa kukagua ujenzi wa Ofisi za Bonde la Mto Abay - White Nile
![](http://4.bp.blogspot.com/-gc198qit1Ks/VFUcpZVwy4I/AAAAAAAGutw/gbJf7mu6O3I/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-CQSDY8HPQXQ/VFUcql33I2I/AAAAAAAGut8/-Kfu1f0lYUg/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
10 years ago
Habarileo04 Jun
Mkutano Bonde Nile kuanza leo Dodoma
MAWAZIRI wanaohusika na masuala ya Maji katika nchi za Bonde la Mto Nile (NBI), wanaanza kikao chao leo mjini Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa 23 wa mwaka wa Baraza la Mawaziri wa nchi hizo.
10 years ago
Dewji Blog07 May
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ne77-EYD2nw/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo13 Jul
MKUTANO MAALUMU WA MAENDELEO NA KUTOKOMEZA MALARIA WAANZA RASMI
MKUTANO maalumu wa maendeleo na kutokomeza Maralia Barani Afrika umeanza rasmi leo Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano huo ulioanza rasmi leo, unatarajia kumalizika Julai 16 mwaka huu na unalengo la kujadili mikakati ya kuzikwamua nchi maskini kwa kuzichangia kimaendeleo...
10 years ago
GPLMKUTANO MAALUMU WA MAENDELEO NA KUTOKOMEZA MARALIA WAANZA RASMI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q*0FqWTixVJ1985ciUK49Q9NZxCWuLfUSG-Fo8SDm5-abERJ9OkuIGPFc9WI42EHsuyVKryvomo3nIFchYXB0x9b0PdHSoYo/drseif.jpg)
DK. SEIF: WAWEKEZAJI NJOONI BONDE LA MTO RUFIJI