Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano Bonde Nile kuanza leo Dodoma

Profesa Jumanne Maghembe.MAWAZIRI wanaohusika na masuala ya Maji katika nchi za Bonde la Mto Nile (NBI), wanaanza kikao chao leo mjini Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa 23 wa mwaka wa Baraza la Mawaziri wa nchi hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI ZA BONDE LA MTO NILE, MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa mawaziri wa nchi za Bonde la Mto Nile

IMGL8128

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa nchi za bonde la  mto Nile kwenye Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Juni 4, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGL8119

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa Nchi za Bonde la Mto Nile wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipofungua mkutano wao kwenye  Kituo Cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma.

IMGL8120

IMGL8095

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maji,...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile waanza mjini Nairobi,Kenya

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya ambaye alikuwa ni msemaji mkuu katika Mkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile (4th Nile Basin Development Forum) unaofanyika jijini Nairibi,Kenya akiwasilisha mada katika mkutano huo.Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya (kushoto) akifatilia mada mbali mbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano nhuo.Mawaziri wa Maji wa Bonde la Mto Nile waliohudhuria Mkutano wa Nne Jopo la Maendeleo...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BAJETI KUANZA KESHO JIJINI DODOMA


 Spika wa  Bunge, Job Ndugai (Mb), akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ambayo yatafanyika katika  Utaratibu wa Uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa Mkutano wa Bunge wa Bajeti unaotarajiwa kuanza kesho Jijini Dodoma. Spika ametangaza mabadiliko kadhaa ambayo yatafanyika wakati wa uendeshaji wa shughuli za Bunge ili kukabiliana na janga la Ugojwa wa Korona.  Wakwanza kulia ni  Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson. Spika wa Bunge Job Ndugai (katikati) akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA ISHIRINI WA BUNGE LA KUMI KUANZA DODOMA TAHERE 12 MEI 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA




1.0       UTANGULIZI

Mkutano wa Ishirini (20) wa Bunge la Kumi (10) unatarajia kuanza mjini Dodoma tarehe 12 Mei 2015. Mkutano huo ambao ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali ndiyo utakaokuwa mkutano wa mwisho wa Bunge hili kabla ya kuvunjwa na baadaye kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015.


Hivyo, Wabunge wote wanapaswa kuwa wamewasili mjini Dodoma  ifikapo Jumapili tarehe 10 Mei 2015 tayari kuhudhuria kikao cha...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya ahitimisha ziara yake ya siku sita nchini Ethiopia kwa kukagua ujenzi wa Ofisi za Bonde la Mto Abay - White Nile

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya leo amemaliza ziara yake ya siku sita nchini Ethiopia kwa kukagua ujenzi wa Ofisi za Bonde la Mto Abay (White Nile),kutembelea chanzo cha Mto Abay,na kutembelea maporomoko maarufu ya Mto Abay (White Nile). Waziri Mwandosya,kushoto,akiwa na Mhaidrolijia Mengistu,Mkurugenzi Mkuu wa Bone la Mto Abay baada ya kukagua kazi zinazoendelea za ujenzi wa Makao Makuu ya Bonde mjini Bahar Dar, Amhara.Waziri Mwandosya kwenye mti uliopandwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtihani wa Pinda kuanza leo Dodoma

PINDANa Debora Sanja, Dodoma
VIKAO vya Bunge la Bajeti ya mwaka 2015/16 vinaanza leo Dodoma huku Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwa ya kwanza kuwasilisha bajeti yake.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge, mkutano huo wa 20 Bunge unatarajiwa kuanza leo hadi Juni 27 mwaka huu ambako Bunge hilo litavunjwa na nchi kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Waziri Mkuu Pinda atawasilisha bajeti ya ofisi yake ambayo inahusisha wizara tatu ambazo ni Ofisi ya Bunge, Sera, Uratibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani