Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA BAJETI KUANZA KESHO JIJINI DODOMA


 Spika wa  Bunge, Job Ndugai (Mb), akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ambayo yatafanyika katika  Utaratibu wa Uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa Mkutano wa Bunge wa Bajeti unaotarajiwa kuanza kesho Jijini Dodoma. Spika ametangaza mabadiliko kadhaa ambayo yatafanyika wakati wa uendeshaji wa shughuli za Bunge ili kukabiliana na janga la Ugojwa wa Korona.  Wakwanza kulia ni  Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson. Spika wa Bunge Job Ndugai (katikati) akizungumza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KUANZA KUFANYIKA KESHO HOTELI YA GIRRAFE JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleMKUTANO wa Nne wa Bara la Afrika wa kujadili mipango endelevu  katika eno la mafunzo kwa vijana na wataalamu  wasiojiweza na ushirikji wao katika soko la ajira, unatarajiwa kuanza kufanyika kesho Hoteli ya Girrafe jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo ambao utashirikisha nchi mbalimbali tisa unatarajiwa kuhudhuriwa na wageni 50 kutoka katika nchi hizo za Afrika.
Akizungumza na waaandishi wa habari kuhusu Dar es Salaam jana kuhusu mkutano huo, Meneja Mipango wa Ofisi ya Maendeleo...

 

9 years ago

Habarileo

Samia kuanza kampeni Dodoma kesho

MGOMBEA Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara za mikutano ya kampeni mkoani hapa kesho ambapo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumsikiliza.

 

10 years ago

Habarileo

Mkutano Bonde Nile kuanza leo Dodoma

Profesa Jumanne Maghembe.MAWAZIRI wanaohusika na masuala ya Maji katika nchi za Bonde la Mto Nile (NBI), wanaanza kikao chao leo mjini Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa 23 wa mwaka wa Baraza la Mawaziri wa nchi hizo.

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI DODOMA KESHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (Kulia), Naibu Katibu Mkuu Mwamini Malemi (kushoto) wakiwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Maandalizi ya Kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo inayotarajiwa kuwasilishwa Tarehe 15 Mei, 2014 katika Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA ISHIRINI WA BUNGE LA KUMI KUANZA DODOMA TAHERE 12 MEI 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA




1.0       UTANGULIZI

Mkutano wa Ishirini (20) wa Bunge la Kumi (10) unatarajia kuanza mjini Dodoma tarehe 12 Mei 2015. Mkutano huo ambao ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali ndiyo utakaokuwa mkutano wa mwisho wa Bunge hili kabla ya kuvunjwa na baadaye kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015.


Hivyo, Wabunge wote wanapaswa kuwa wamewasili mjini Dodoma  ifikapo Jumapili tarehe 10 Mei 2015 tayari kuhudhuria kikao cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam

IMG_0694

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.

Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani