MKUTANO WA ISHIRINI WA BUNGE LA KUMI KUANZA DODOMA TAHERE 12 MEI 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-G5HENcLrqtE/VU6kZjeHo9I/AAAAAAAHWeA/_6dB1FnxX6s/s72-c/download.jpg)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA![](http://2.bp.blogspot.com/-G5HENcLrqtE/VU6kZjeHo9I/AAAAAAAHWeA/_6dB1FnxX6s/s1600/download.jpg)
1.0 UTANGULIZIMkutano wa Ishirini (20) wa Bunge la Kumi (10) unatarajia kuanza mjini Dodoma tarehe 12 Mei 2015. Mkutano huo ambao ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali ndiyo utakaokuwa mkutano wa mwisho wa Bunge hili kabla ya kuvunjwa na baadaye kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015.
Hivyo, Wabunge wote wanapaswa kuwa wamewasili mjini Dodoma ifikapo Jumapili tarehe 10 Mei 2015 tayari kuhudhuria kikao cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
Michuzi03 Nov
11 years ago
Michuzi08 May
11 years ago
Dewji Blog09 May
10 years ago
Michuzi06 Nov
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Bunge la Bajeti kuanza Mei 6
MKUTANO wa Bunge la Bajeti ya mwaka 2014/2015 utaanza Mei 6 hadi Juni 27, mwaka huu mjini Dodoma huku bajeti kuu ya Serikali ikitarajiwa kusomwa Juni 12. Hayo yalielezwa bungeni...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/VcywIVArWds/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Fig9vGDUJnM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GiKkuW_ScJo/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania