Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samia kuanza kampeni Dodoma kesho

MGOMBEA Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anaanza ziara za mikutano ya kampeni mkoani hapa kesho ambapo wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumsikiliza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI, SAMIA KUUNGURUMA JANGWANI KESHO

 Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika kesho viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Picha zikichukuliwa.
Na Dotto Mwaibale
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BAJETI KUANZA KESHO JIJINI DODOMA


 Spika wa  Bunge, Job Ndugai (Mb), akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mabadiliko ambayo yatafanyika katika  Utaratibu wa Uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa Mkutano wa Bunge wa Bajeti unaotarajiwa kuanza kesho Jijini Dodoma. Spika ametangaza mabadiliko kadhaa ambayo yatafanyika wakati wa uendeshaji wa shughuli za Bunge ili kukabiliana na janga la Ugojwa wa Korona.  Wakwanza kulia ni  Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson. Spika wa Bunge Job Ndugai (katikati) akizungumza...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE,KESHO KUUNGURUMA LIVE UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA

 Pichani kati ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde kwa pamoja wakiwapungia wananchi wa Mtera (hawapo pichani),ndani ya mji wa Mvumi wilayani Chamwino mkoani Dodoma Wakazi wa jimbo la Mtera,mjini Mvumi,Wilayani Chamwino wakishangilia jambo wakati Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake za kuomba kura za Urais jioni ya leo,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Mvumi wilaya ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mkoa wa Dodoma washerehekea kuanza kwa ujenzi wa mradi wa Barabara ya Dodoma (Mayamaya) — Babati (Bonga)

1

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchmbi (wa nne kutoka kushoto) akiwaongoza wadau waliofika kuadhimisha sherehe za kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kwa kiwango cha lami kuomba Dua ili mradi huo ukamilike kwa wakati bila kukwamishwa na changamoto mbalimbali. Sherehe hizo zilifanyika mapema Julai Mosi, 2014 kijijini Kolo Wilayani Kondoa.

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari...

 

11 years ago

Michuzi

MKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA MRADI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) - BABATI (BONGA)

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (Katikati mwenye kilemba) na ujumbe alioambatana nao wakipatiwa maelezo ya mradi wa barabara kutoka Mayamaya Dodoma hadi Bonga Babati kutoka kwa wakandarasi wa Kampuni inayojenga barabara hiyo ya China Railway Seventh Group wakati alipotembelea kambi ya kampuni hiyo  iliyopo kijiji cha Kolo Wilayani Kondoa  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kushoto) na ujumbe alioambatana nao wakikagua magari yanayotumika kwenye ujenzi wa barabara...

 

9 years ago

Habarileo

Kero ya maji yagubika kampeni za Samia

Takribani mikoa sita ambayo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amefanya kampeni zake, amepokea matatizo kadhaa, lakini tatizo kubwa linalokabili mikoa hiyo ni maji.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AANZA KAMPENI KILIMNJARO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leoMgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA APIGA KAMPENI MORO

Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ukiwasili mkoani Morogoro leo ukitokea mkoani Dodoma.Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, MamaSamia Suluhu Hassan akimsalimia Katibu wa CCM mkoa wa Morgoro Rojas Rumuli wakati wa mapokezi yake, alipowasili mkoani Morogoro kufanya mikutano ya kameni katika mkoa huo leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia mgombea Ubunge Jimbo la Gairo, Ahmed Shabby wakati alipowasili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani