Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtihani wa Pinda kuanza leo Dodoma

PINDANa Debora Sanja, Dodoma
VIKAO vya Bunge la Bajeti ya mwaka 2015/16 vinaanza leo Dodoma huku Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwa ya kwanza kuwasilisha bajeti yake.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge, mkutano huo wa 20 Bunge unatarajiwa kuanza leo hadi Juni 27 mwaka huu ambako Bunge hilo litavunjwa na nchi kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Waziri Mkuu Pinda atawasilisha bajeti ya ofisi yake ambayo inahusisha wizara tatu ambazo ni Ofisi ya Bunge, Sera, Uratibu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kidato cha 4 kuanza mtihani leo

WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea wanatarajia kufanya mtihani wa kumaliza Kidato cha Nne unaotarajia kuanza kufanyika leo nchi nzima.

 

10 years ago

Habarileo

Mkutano Bonde Nile kuanza leo Dodoma

Profesa Jumanne Maghembe.MAWAZIRI wanaohusika na masuala ya Maji katika nchi za Bonde la Mto Nile (NBI), wanaanza kikao chao leo mjini Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa 23 wa mwaka wa Baraza la Mawaziri wa nchi hizo.

 

11 years ago

GPL

PINDA KUKUTANA NA SURPRISE LEO DODOMA

Stori: Ojuku Abraham
WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani kati ya wanawake wanne mahiri nchini, itakayofanyika katika Ukumbi wa The African Dream, Dodoma. Wanawake hao ambao mmoja wao ataibuka kinara na kuondoka na Tuzo na zawadi maalum ni pamoja na Dk. Maria Kam, Dk. Asha Rose...

 

10 years ago

Habarileo

Darasa la saba kuanza mtihani wa mwisho Jumatano

WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma leoWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari  baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma leo Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani