PINDA KUKUTANA NA SURPRISE LEO DODOMA
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6Y2oS5vaiUO4FHYiM8bzD-9W-C0SRWHOuUBh8KEprvvjQZAAm00RWQ1LznrSJvKEEMpcSVvddv*J6X-kTmGYg27/chawote.jpg?width=650)
Stori: Ojuku Abraham WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani kati ya wanawake wanne mahiri nchini, itakayofanyika katika Ukumbi wa The African Dream, Dodoma. Wanawake hao ambao mmoja wao ataibuka kinara na kuondoka na Tuzo na zawadi maalum ni pamoja na Dk. Maria Kam, Dk. Asha Rose...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Sep
TCD, JK kukutana leo Dodoma
10 years ago
Mtanzania12 May
Mtihani wa Pinda kuanza leo Dodoma
Na Debora Sanja, Dodoma
VIKAO vya Bunge la Bajeti ya mwaka 2015/16 vinaanza leo Dodoma huku Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwa ya kwanza kuwasilisha bajeti yake.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Ofisi ya Bunge, mkutano huo wa 20 Bunge unatarajiwa kuanza leo hadi Juni 27 mwaka huu ambako Bunge hilo litavunjwa na nchi kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Waziri Mkuu Pinda atawasilisha bajeti ya ofisi yake ambayo inahusisha wizara tatu ambazo ni Ofisi ya Bunge, Sera, Uratibu...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JBTR5FzBiW8/VZLJt1zma_I/AAAAAAAHl5M/xRNDE4NtGHI/s72-c/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
PINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-JBTR5FzBiW8/VZLJt1zma_I/AAAAAAAHl5M/xRNDE4NtGHI/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NJVTNxV9FqE/VZLJt1hjfGI/AAAAAAAHl5Q/_YYK2SY_350/s640/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ENhFTlzl62M/UwSgPm6C_5I/AAAAAAAFN_Y/7ad_rKWaUog/s72-c/unnamed+(79).jpg)
pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-ENhFTlzl62M/UwSgPm6C_5I/AAAAAAAFN_Y/7ad_rKWaUog/s1600/unnamed+(79).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zmuxwl-IBlU/UwSgPs_cPdI/AAAAAAAFN_c/yiBNJ5J3e9A/s1600/unnamed+(80).jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA NA WAJUMBE MBALIMBALI WA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA