Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCD, JK kukutana leo Dodoma

Masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa mjini hapa kusikia kile ambacho Rais Jakaya Kikwete alisema ni hatima ya mchakato wa Katiba, atakapokutana na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD) IKULU NDOGO DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo (kushoto) akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo.TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni, ambavyo ni CCM, CUF, CHADEMA, TLP, NCCR-Mageuzi na UDP.Mwenyekiti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ikulu ndogo Dodoma leo

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo.TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni, ambavyo ni CCM, CUF, CHADEMA, TLP, NCCR-Mageuzi na UDP.

Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA -TCD

Na   Magreth Kinabo, Dodoma
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Mrisho  Kikwete ameahidi kuonana na Viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demkrasia Tanzania(TCD) kabla ya mwisho wa wiki kwa lengo la kushauriana.
 Kauli  hii imetolewa na Mwenyekiti wa TCD,Mhe. John  Cheyo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi  wa   katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge.
Mhe. Cheyo alisema Rais Kikwete amekubali kuonana nao kufutia kikao chao walichokaa kwa pamoja...

 

11 years ago

GPL

PINDA KUKUTANA NA SURPRISE LEO DODOMA

Stori: Ojuku Abraham
WAZIRI Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda leo atakutana na ‘surprise’ ya aina yake, wakati atakapokabidhi tuzo kwa mwanamke bora wa mwaka, ambaye hadi sasa bado hajafahamika ni nani kati ya wanawake wanne mahiri nchini, itakayofanyika katika Ukumbi wa The African Dream, Dodoma. Wanawake hao ambao mmoja wao ataibuka kinara na kuondoka na Tuzo na zawadi maalum ni pamoja na Dk. Maria Kam, Dk. Asha Rose...

 

10 years ago

IPPmedia

JK to meet TCD in Dodoma today


IPPmedia
JK to meet TCD in Dodoma today
IPPmedia
President Jakaya Kikwete is expected to meet chairmen and secretaries of political parties under the umbrella of Tanzania Center for Democracy (TCD) at St Gasper grounds in Dodoma Region today. According to the official statement availed to The ...

 

10 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA MEI 23,DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na...

 

10 years ago

Habarileo

Wajumbe Baraza Kuu Wazazi kukutana Dodoma

WAJUMBE 150 wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watakutana mjini Dodoma kwa ajili ya kupata mafunzo juu ya Katiba Inayopendekezwa ili wawe chachu ya kuhamasisha wanachama na wananchi kuipigia kura ya ndiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani