RAIS KIKWETE KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA -TCD

Na Magreth Kinabo, Dodoma
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameahidi kuonana na Viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demkrasia Tanzania(TCD) kabla ya mwisho wa wiki kwa lengo la kushauriana.
Kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa TCD,Mhe. John Cheyo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge.
Mhe. Cheyo alisema Rais Kikwete amekubali kuonana nao kufutia kikao chao walichokaa kwa pamoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
11 years ago
Habarileo03 Feb
JK, viongozi wa vyama kukutana Februari 6
RAIS Jakaya Kikwete atazungumza na viongozi wa vyama vya siasa kupitia baraza la vyama vya siasa Februari 6, mwaka huu ili kuwafunda juu ya Bunge la Katiba.
10 years ago
Michuzikuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...
10 years ago
VijimamboJAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.
Na: Hassan Hamad, OMKR....
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Makubaliano ya Rais Kikwete na TCD yamevunjika?
5 years ago
Michuzi
Rais Magufuli na Rais Kenyatta waagiza viongozi kukutana na kutatua mgogoro wa malori mpakani

11 years ago
Mwananchi08 Sep
TCD, JK kukutana leo Dodoma
11 years ago
Dewji Blog31 Aug
Rais Kikwete akutana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ikulu ndogo Dodoma leo

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo.TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni, ambavyo ni CCM, CUF, CHADEMA, TLP, NCCR-Mageuzi na UDP.

Mwenyekiti wa...
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete kukutana na Watanzania waishio Ujerumani

Alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakiza muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.
Bw. Mfundo alifafanua pia ...