JK, viongozi wa vyama kukutana Februari 6
RAIS Jakaya Kikwete atazungumza na viongozi wa vyama vya siasa kupitia baraza la vyama vya siasa Februari 6, mwaka huu ili kuwafunda juu ya Bunge la Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA -TCD

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ameahidi kuonana na Viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demkrasia Tanzania(TCD) kabla ya mwisho wa wiki kwa lengo la kushauriana.
Kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa TCD,Mhe. John Cheyo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge.
Mhe. Cheyo alisema Rais Kikwete amekubali kuonana nao kufutia kikao chao walichokaa kwa pamoja...
10 years ago
Michuzikuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi
Na: Hassan Hamad, OMKR.
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...
10 years ago
VijimamboJAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.
Na: Hassan Hamad, OMKR....
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Aug
JK kukutana na vyama vya siasa
Katika hatua nyingine, Rais Kikwete, anatarajiwa kukutana na viongozi wa vyama vinayounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo, alisema jana kuwa Rais Kikwete atakutana na viongozi wa vyama hivyo wiki hii baada ya ombi lao kukubaliwa.
Viongozi hao waliazimia kutafuta nafasi ya kuonana na Rais Kikwete kwa lengo la kushauriana naye na tunashukuru amekubali na tutakutana naye wiki hii, alisema Cheyo.
TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni ambavyo ni CCM,...
11 years ago
GPLTMA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO, KUTOA TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: TAARIFA YA MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA MWEZI JANUARI NA FEBRUARI 2014 Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania atatoa taarifa ya mwelekeo wa hali ya hewa kwa mwezi Januari na Februari 2014. Taarifa hiyo itatolewa kwa vyombo vya habari Jumanne tarehe 31 Desemba 2013, saa 5 (tano) asubuhi, katika ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hali ya...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM itakuwa na kikao cha kawaida cha siku moja mjini Dar es Salaam tarehe 28 Februari,2015.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Viongozi wa A.Mashariki kukutana
Viongozi wa Afrika Mashariki wanatarajia kukutana kwa dharura kuijadili Sudani kusini
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania