Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa A.Mashariki kukutana

Viongozi wa Afrika Mashariki wanatarajia kukutana kwa dharura kuijadili Sudani kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

JK, viongozi wa vyama kukutana Februari 6

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete atazungumza na viongozi wa vyama vya siasa kupitia baraza la vyama vya siasa Februari 6, mwaka huu ili kuwafunda juu ya Bunge la Katiba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kerry kukutana na viongozi Israeli na Palestina

John Kerry, atakutana na waziri mkuu wa Israil, Benjamin Netanyahu na rais wa Palestina, Mahmoud Abbas.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA -TCD

Na   Magreth Kinabo, Dodoma
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Mrisho  Kikwete ameahidi kuonana na Viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demkrasia Tanzania(TCD) kabla ya mwisho wa wiki kwa lengo la kushauriana.
 Kauli  hii imetolewa na Mwenyekiti wa TCD,Mhe. John  Cheyo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi  wa   katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge.
Mhe. Cheyo alisema Rais Kikwete amekubali kuonana nao kufutia kikao chao walichokaa kwa pamoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake viongozi wa michezo Afrika kukutana Dar es Salaam

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Asasi ya Right to Play Tawi la Tanzania, wameandaa kongamano la wanawake viongozi wa michezo Afrika (Africa Women Sports Leaders),...

 

9 years ago

Michuzi

URUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda katikati akizungumza na waandishi a habari jijini Dar es Salaam leo, kutoka kushoto...

 

9 years ago

Michuzi

kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi

Na: Hassan Hamad, OMKR.
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA

 
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi (wa pili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa Ofisi hiyo. Kushoto ni msajili wa vyama Zanzibar Bw. Rajab Baraka. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Na: Hassan Hamad, OMKR....

 

11 years ago

Michuzi

Obama kukutana leo viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika jijini Washington DC

 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano  wa Town Hall ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC.Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe.Miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa ya kuhudhuria ni Naibu Waziri wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

BAT 'iliwahonga' viongozi Afrika Mashariki

Uchunguzi wa BBC umegundua kuwa kampuni ya kutengeneza sigara ya British American Tobacco (BAT) imekuwa ikitoa hongo kwa viongozi wakuu serikalini katika mataifa ya Afrika Mashariki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani