Wanawake viongozi wa michezo Afrika kukutana Dar es Salaam
WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Asasi ya Right to Play Tawi la Tanzania, wameandaa kongamano la wanawake viongozi wa michezo Afrika (Africa Women Sports Leaders),...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBvDDammIW*AVpuhSjFVYeGInhjCY1SHYFGMiJHqsAq3D7Z*gIxwSyabm98uadmyvypQS*NkutQWzuXEYwthU8Hc/MARAISAFRIKA.jpg?width=650)
MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Marais wa nchi sita za Afrika watakuwa na mkutano mkubwa leo Jijini Dar es Salaam ncini Tanzania ambapo watajadili kwa kina juu ya kuboresha uwekezaji katika kanda ya Maziwa Makuu. Marais hao ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenyeji wao wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Mkutano huo wa siku mbili...
9 years ago
MichuziVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-SvKI_8oz9dY/VK7_6kEykrI/AAAAAAAG8Hw/RBaqxu0QCFk/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam
Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam, chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara, unatangaza rasmi kwamba shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
Ratiba itaanza Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...
10 years ago
Mwananchi15 Jun
Viongozi wa Afrika wenye shauku ya michezo
Mashabiki wa soka barani Afrika ni kati ya mashabiki wenye shauku kubwa na michezo na hata viongozi wao wengi nao wapo hivyo. Viongozi wengi wa Afrika wametumia mapenzi yao ya michezo kuwaunganisha wananchi wao.
11 years ago
GPLWAZIRI WA HABARI,VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto)akikabidhi moja ya vifaa vya michezo kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, Simon Nungu (kulia)Vifaa hivyo vya michezo vilivyotolewa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya mashindano ya michezo mbalimbali itakayoanza hivi karibuni na kuzihusisha shule za sekondari kumi na mbili(12)za jijini Dar es Salaam.Wanaoshuhudia makabidhiano...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-NUZEUpmMCR4/U9Y-32CH_II/AAAAAAAF7XM/5N7QzyIjyZM/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Obama kukutana leo viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika jijini Washington DC
![](http://3.bp.blogspot.com/-NUZEUpmMCR4/U9Y-32CH_II/AAAAAAAF7XM/5N7QzyIjyZM/s1600/unnamed+(18).jpg)
9 years ago
VijimamboVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI MIKAKATI YA KUMALIZAMA AMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-NUZEUpmMCR4/U9Y-32CH_II/AAAAAAAF7XM/5N7QzyIjyZM/s1600/unnamed+(18).jpg)
OBAMA KUKUTANA LEO NA VIONGOZI WADOGO WALIOONYESHA DIRA TOKA NCHI ZOTE ZA AFRIKA JIJINI WASHINGTON DC
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC. Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe. Miongoni mwa...
10 years ago
MichuziKAMATI YA UTENDAJI YA CHAMA CHA HABARI ZA MICHEZO (TASWA) KUKUTANA AGOSTI 7 2015 JIJINI DAR
A; KIKAO KAMATI YA UTENDAJI
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), inatarajiwa kukutana Ijumaa Agosti 7, 2015, Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali yahusiyo michezo na waandishi wa habari za michezo hapa nchini.
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitajadili namna bora ambayo chama kinaweza kushiriki kwa kuangalia jinsi ya kuwaunganisha wanamichezo kwa namna mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania