Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama kukutana leo viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika jijini Washington DC

 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano  wa Town Hall ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC.Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe.Miongoni mwa watanzania wachache waliopata fursa ya kuhudhuria ni Naibu Waziri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OBAMA KUKUTANA LEO NA VIONGOZI WADOGO WALIOONYESHA DIRA TOKA NCHI ZOTE ZA AFRIKA JIJINI WASHINGTON DC‏

 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC. Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe. Miongoni mwa...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas

 Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari amefanya mazungumzo na Seneta Joyce Elliott  wa Chama cha Democrat ch Rais Obama Nchini Marekani. Pamoja na mambo mengine wamejadiliana kuhusu mpango wa kuanzisha urafiki kati ya Halmashauri ya Meru na Jimbo la Arkansas la Marekani.  Mbunge wa Arumeru Mashariki, mhe Joshua Nassari, akitoa mada. Mhe Nassari yupo nchini Marekani Pamoja na vijana wengine toka nchi zote za Afrika kwa ajili ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC  leo Julai 6, 2014.  Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika...

 

10 years ago

GPL

MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Marais wa nchi sita za Afrika watakuwa na mkutano mkubwa leo Jijini Dar es Salaam ncini Tanzania ambapo watajadili kwa kina juu ya kuboresha uwekezaji katika kanda ya Maziwa Makuu. Marais hao ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenyeji wao wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Mkutano huo wa siku mbili...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...

 

11 years ago

GPL

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI VIJANA TOKA BARANI AFRIKA

Ukumbi wa Regency Ballroom katika Hotel ya Omni Shoreham Washington DC ukiwa umepambwa kwa Bendera toka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani.…

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTNAO WA WAKUU WA NCHI ZA BARA LA AFRIKA,JIJINI WASHINGTON DC

o3Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Obama wa Marekani Agosti 6, 2014.o6 o7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Rais Barak Obama wa Marekani kwenye ukumbi wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya uenyekiti wa Rais Obama wa Marekani Agosti 6, 2014o8Rais Jakaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani