OBAMA KUKUTANA LEO NA VIONGOZI WADOGO WALIOONYESHA DIRA TOKA NCHI ZOTE ZA AFRIKA JIJINI WASHINGTON DC
.jpg)
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC. Hii ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) . Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe. Miongoni mwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Obama kukutana leo viongozi wadogo walioonyesha dira toka nchi zote za Afrika jijini Washington DC
.jpg)
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mhe Joshua Nassari katika program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha dira marekani, Arumeru kuanzisha urafiki na Jimbo la Arkansas
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO





10 years ago
GPL
MARAIS WA NCHI 6 ZA AFRIKA KUKUTANA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Marais wa nchi sita za Afrika watakuwa na mkutano mkubwa leo Jijini Dar es Salaam ncini Tanzania ambapo watajadili kwa kina juu ya kuboresha uwekezaji katika kanda ya Maziwa Makuu. Marais hao ni Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Pierre Nkurunziza wa Burundi, Paul Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenyeji wao wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete. Mkutano huo wa siku mbili...
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...
11 years ago
GPL
RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI VIJANA TOKA BARANI AFRIKA
Ukumbi wa Regency Ballroom katika Hotel ya Omni Shoreham Washington DC ukiwa umepambwa kwa Bendera toka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani.…
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPLMAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI
Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania