Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI VIJANA TOKA BARANI AFRIKA

Ukumbi wa Regency Ballroom katika Hotel ya Omni Shoreham Washington DC ukiwa umepambwa kwa Bendera toka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Barack Obama apigia chapuo vijana kuongoza Afrika

Rais wa Marekani, Barack Obama amesema Afrika inahitaji viongozi vijana katika nyakati hizi, kwa kuwa ndiyo wenye uwezo wa kujenga uhuru, kujitegemea na usimamizi mzuri wa haki za raia na utawala wa sheria.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA

 Dullah Msangi (katikati) akiwa miongoni mwa wageni walioalikwa kusikiliza risala ya Rais Barack Obama katika jimbo la Birmingham, Alabama. Kadi maalum ya mwaliko wa kuhudhuria risala hiyo. Rais Barack Obama akiwasili ndani ya Air Force One katika jimbo la Alabama.Kwa habari zaidi bofya SOMA ZAIDI

Vifaa vinavyong'aa ni Electronic Countermeasures katika Air Force One. Vilionekana baada ya ndege hiyo kubwa na ya kipekee kutua katika uwanja wa Birmingham jimboni Alabama.Rais Barack Obama...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA UBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI ULIOLIPULIWA MWAKA 1998 NAIROBI KENYA.

 Wananchi wa Kenya wakiwa na shauku ya kumwona Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipotembelea Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998 jijini Nairobi nchini Kenya. Wananchi Kenya wakiwa na furaha ya kumwona Rais Barack Obama alipotembelea jengo la Ubalozi wa Marekani nchini Kenya lililolipuliwa mwaka 1998. Watu ni wengi kweli kweli wakiwa na shauku ya kumowna Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama ambaye ameandika historia mpya ya Rais wa kwanza wa Marekani aliyemadarakani...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC  leo Julai 6, 2014.  Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI ASHIRIKI MDAHALO WA VIONGOZI WADOGO BARANI AFRIKA NCHINI MAREKANI

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza wakati wa mdahalo wa viongozi wadogo wanaoshiriki programu ya rais Obama kwa viongozi wadogo wanaoonyesha dira .Mdahalo huo umefanyika katika chuo kikuu cha Arkansas ambacho Rais Mstaafu wa Marekani  Bill Clinton na mkewe Hillary walianzia kazi ya kufundisha Sheria. Baadhi ya washiriki katika mdahalo huo ambamo miongoni mwa waalikwa walikuwa ni watanzania waishio Arkansas.Mkurugenzi wa program ya Rais Obama ya "Young African...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani