Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA UBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI ULIOLIPULIWA MWAKA 1998 NAIROBI KENYA.

 Wananchi wa Kenya wakiwa na shauku ya kumwona Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipotembelea Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998 jijini Nairobi nchini Kenya. Wananchi Kenya wakiwa na furaha ya kumwona Rais Barack Obama alipotembelea jengo la Ubalozi wa Marekani nchini Kenya lililolipuliwa mwaka 1998. Watu ni wengi kweli kweli wakiwa na shauku ya kumowna Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama ambaye ameandika historia mpya ya Rais wa kwanza wa Marekani aliyemadarakani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA

 Dullah Msangi (katikati) akiwa miongoni mwa wageni walioalikwa kusikiliza risala ya Rais Barack Obama katika jimbo la Birmingham, Alabama. Kadi maalum ya mwaliko wa kuhudhuria risala hiyo. Rais Barack Obama akiwasili ndani ya Air Force One katika jimbo la Alabama.Kwa habari zaidi bofya SOMA ZAIDI

Vifaa vinavyong'aa ni Electronic Countermeasures katika Air Force One. Vilionekana baada ya ndege hiyo kubwa na ya kipekee kutua katika uwanja wa Birmingham jimboni Alabama.Rais Barack Obama...

 

10 years ago

Michuzi

JK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI VIJANA TOKA BARANI AFRIKA

Ukumbi wa Regency Ballroom katika Hotel ya Omni Shoreham Washington DC ukiwa umepambwa kwa Bendera toka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani waonya dhidi ya shambulio la kigaidi katika hoteli moja Nairobi Kenya

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani, jijini Nairobi leo

unnamed (2)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani