Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI ZIARANI JIMBO LA ALABAMA

 Dullah Msangi (katikati) akiwa miongoni mwa wageni walioalikwa kusikiliza risala ya Rais Barack Obama katika jimbo la Birmingham, Alabama. Kadi maalum ya mwaliko wa kuhudhuria risala hiyo. Rais Barack Obama akiwasili ndani ya Air Force One katika jimbo la Alabama.Kwa habari zaidi bofya SOMA ZAIDI

Vifaa vinavyong'aa ni Electronic Countermeasures katika Air Force One. Vilionekana baada ya ndege hiyo kubwa na ya kipekee kutua katika uwanja wa Birmingham jimboni Alabama.Rais Barack Obama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Michuzi

JK apokea salamu za kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na kwasilisha salamu za Rais Barack Obama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

11 years ago

GPL

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AZUNGUMZA NA VIONGOZI VIJANA TOKA BARANI AFRIKA

Ukumbi wa Regency Ballroom katika Hotel ya Omni Shoreham Washington DC ukiwa umepambwa kwa Bendera toka mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry akitoa hotuba yake kwa Viongozi vijana toka barani Afrika waliokuwa wakishiriki mafunzo katika vyuo vikuu vya Arkansas na Florida nchini Marekani.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA UBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI ULIOLIPULIWA MWAKA 1998 NAIROBI KENYA.

 Wananchi wa Kenya wakiwa na shauku ya kumwona Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipotembelea Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998 jijini Nairobi nchini Kenya. Wananchi Kenya wakiwa na furaha ya kumwona Rais Barack Obama alipotembelea jengo la Ubalozi wa Marekani nchini Kenya lililolipuliwa mwaka 1998. Watu ni wengi kweli kweli wakiwa na shauku ya kumowna Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama ambaye ameandika historia mpya ya Rais wa kwanza wa Marekani aliyemadarakani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Barack Obama aizungumzia Iraq

Rais Obama amesema awamu ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya kuandaa serikali ya pamoja na yenye kuaminika nchini Iraq.

 

9 years ago

Vijimambo

PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani