Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe Baraza Kuu Wazazi kukutana Dodoma

WAJUMBE 150 wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watakutana mjini Dodoma kwa ajili ya kupata mafunzo juu ya Katiba Inayopendekezwa ili wawe chachu ya kuhamasisha wanachama na wananchi kuipigia kura ya ndiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakutana

 Wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF wakiwa katika picha ya pamoja katika makao makuu ya chama hicho Buguruni jiji i Dar es Salaam Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu Maalim Seif wakisalimiana na wajumbe baada ya picha ya pamoja

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA MEI 23,DODOMA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.=========  ========  ======= Na...

 

11 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua baraza kuu la vijana Dodoma

PG4A9012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza wakati alipofungua semina ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa kwenye ukumbi wa  CCM White House mjini Dodoma Novemba 7, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9018

 

10 years ago

Vijimambo

Akamatwa na Mamilioni Akitaka kuwahonga Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Dodoma


Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma?

 

10 years ago

Vijimambo

WAJUMBE WA KAMATI KUU WAKIJIANDAA NA KIKAO MJINI DODOMA MUDA HUU

Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mhe. Zakhia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu leo tarehe 22 Mei 2015 mjini Dodoma.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Jerry Slaa akishauriana jambo na Mhe.Wiliam Lukuvi ndani ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wenzake wa Kamati Kuu Profesa Makame Mbarawa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa baraza la Maadili wajitambulisha kwa Waziri Mheshimiwa Kapt. (Mst) George Mkuchika Ofisini kwake katika mji wa serikali Mtumba Dodoma

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Mhe. Harold Nsekela alipokuwa akiwatambulisha Wajumbe wapya wa Baraza la Maadili ya Viongozi waliofika ofisini kwa Mhe. Waziri jijini Dodoma kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani