Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wa baraza la Maadili wajitambulisha kwa Waziri Mheshimiwa Kapt. (Mst) George Mkuchika Ofisini kwake katika mji wa serikali Mtumba Dodoma

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Mhe. Harold Nsekela alipokuwa akiwatambulisha Wajumbe wapya wa Baraza la Maadili ya Viongozi waliofika ofisini kwa Mhe. Waziri jijini Dodoma kujitambulisha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.George Mkuchika (Mb) akiwa katika picha ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Kilomita 39 za Barabara za Lami Zaanza Kujengwa Mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Ujenzi wa barabara za lami katika mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma  waanza kwa kasi ili kuimarisha mawasiliano na huduma kwa wananchi.
Akizungumza leo Machi 20, 2020 katika mahojiano maalum, Katibu wa Kikosi Kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Meshack  Bandawe amesema kuwa ujenzi huo  unahusisha barabara zenye urefu wa kilomita 39 ndani ya mji huo.
 “Serikali inaimarisha miundombinu ndani ya mji wa Serikali ikiwemo ujenzi wa barabara  za njia mbili zenye urefu...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE KUHUSU MAPENDEKEZO YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI

WAZIRI WA FEDHA  WA ZANZIBAR MHESHIMIWA OMAR YUSSUF MZEE AKIINGIIA KATIKA UKUNBU WA BARAZA LA  WAWAKILISHI LEO

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA DODOMA OFISINI KWAKE KUZUNGUMZIA MASUALA YA USHIRIKIANO NA MAENDELEO

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa amepokea zawadi yenye heshima kwa asili ya watu wa korea kutoka kwa mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya bunge la Jamhuri ya Korea Mr. AHN Hong  Joon (kushoto) kiongozi huyo na ujumbe kutoka Bunge la Korea na shirika la kimataifa la misaada la Korea-KOICA katikati ya wiki  walimtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ofisini kwake kuzungumzia masuala ya mashirikiano na maendeleo.  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akielezea fursa...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Baraza la mji wa Minneapolisi laahidi kuvunja idara ya polisi

Hatua hiyo inafuatia maandamnao makubwa yanayoshuhudiwa Marekani kupinga Ubaguzi wa Rangi na dhulma za polisi kufuatia kifo cha George Floyd.

 

5 years ago

CCM Blog

"PIGA UA GARAGAZA" MJI WA SERIKALI WA MTUMBA LAZIMA UITWE MAGUFULI CITY-JAFO

“Nitamshawishi Mzee Mkuchika na wengine huu Mji wa Serikali (Mtumba) uitwe Magufuli City, japokuwa najua Rais wangu hupendi mambo hayo lakini tutakulazimisha, Mji huu umeujenga wewe, hata ukikataa, tutakulazimisha piga ua garagaza lazima hapa kieleweke tu”-JAFO

 

9 years ago

Vijimambo

WAZIRI MAHENGE AKUTANA NA UJUMBE WA MABALOZI OFISINI KWAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za zinazoendelea.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt aliyeongoza Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake leo.

 

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa IFAD amtembelea Waziri Mifugo na Uvuvi ofisini kwake leo

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimatifa la IFAD (International Fund for Agricultural Development) Ndugu Francisco Pichon (wa pili kushoto) alipomtembelea Ofisini kwake Dodoma. Mwakilishi wa IFAD alikuwa akielezea maendeleo katika utekelezaji wa mradi wa kuchimba visima virefu vya maji kwa binadamu na mifugo unaofadhiliwa na IFAD katika Wilaya za Bahi, Chamwino, Kiteto na Kondoa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani