Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.… ...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KATIKA UKUMBI WA MT. GASPER MKOANI DODOMA

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akifungua rasmi kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar uliopo mjini Dodoma, katika hotuba yake ya ufunguzi Mhe. Jaji Mkuu amewaasa Watumishi wa Mahakama kutimiza wajibu wao wa utoaji haki nchini kwa uadilifu. Kundi la baadhi ya Wahe. Majaji na wajumbe wengine wa Baraza la Wafanyakazi wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi linalofanyika katika Hoteli ya St....

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb.) akifungua Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa ya ziara ya Mawaziri nchini Burundi kuhusu hali ya kisisasa nchini humo. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi utakaofanyika tarehe 06 Julai, 2015, umefanyika kwenye Hoteli ya Serena,...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb.) akifungua Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa ya ziara ya Mawaziri nchini Burundi kuhusu hali ya kisisasa nchini humo. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi utakaofanyika tarehe 06 Julai, 2015, umefanyika kwenye Hoteli ya Serena,...

 

11 years ago

Michuzi

Baraza Kuu la Wafanyakazi NSSF Lakutana Dar es Salaam

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao.Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kushoto) akikaimu uenyekiti wa moja ya vikao vya Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kushoto) akikaimu uenyekiti wa moja ya vikao vya Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Kulia ni Katibu wake.Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (kushoto) akizungumza na mmoja wa wajumbe wa  Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano  wao. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (kushoto) akizungumza na mmoja wa wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo katika...

 

11 years ago

GPL

BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI NSSF LAKUTANA JIJINI DAR

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kushoto) akikaimu uenyekiti wa moja ya vikao vya Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Kulia ni Katibu wake. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani K. Dau (kushoto) akizungumza na mmoja wa...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI WAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro, (wa pili Kulia) ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Bw. Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma, Bw. Welberforce Meena (Kushoto) ni Naibu Mkurugenzi Fedha na Utawala Bw.Edward Lugakingira. Baadhi ya Watumishi wa Taasisi ya Elimu ya Watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani