Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa pili wa mwaka wa Kimataifa wa wataalamu wa kudhibiti Mbu wafunguliwa rasmi leo jijini DAR

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk.
Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam
wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini
Dar es Salaam. Washiriki wa mkutano huo umeshirikisha Wanasayansi watafiti kutoka nchi mbalimbali za
Afrika. Mkutano wa kwanza wa Kimataifa wa PAMCA ulifanyika jijini Nairobi Kenya 2014.   Dk Malecela amesema kuwa mkutano huu unakutanisha wataalam wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA PILI WA MWAKA WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA KUDHIBITI MBU WAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MKURUGENZI  Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya washiriki mkutano huo wakiwa na mgeni rasmi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15 Oktoba, 2015, amelifungua rasmi jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi mkoani Dodoma.

Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kujenga jengo zuri linaloakisi sifa na heshima ya utendaji wa Ofisi hiyo.

Kwa upande wake CAG, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuiwezesha ofisi yake na kuongeza uhuru wa ofisi hiyo kwa kuwawezesha kujenga majengo katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI KOMBANI AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani akiwahutubia wajumbe waliohudhuria Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina Ndogo mkoani Dodoma.Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Pili cha Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika jana katika ukumbi wa Hazina...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha azindua baraza la nne la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu

PICHA NAMBA 1

Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha wajumbe wa Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ulioandaliwa na Ofisi hiyo mara baada ya kuuzindua leo katika kikao cha kwanza cha Baraza hilo mkoani Tanga. Katikati ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Zanzibar Mohamed Hafidh Rajab na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa.

PICHA NAMBA 2

Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani