Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TANROADS MJINI MOROGORO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Baraza la Wafanyakazi wa TANROADS mkoani Morogoro. Waziri Magufuli amewapongeza TANROADS kwa utendaji kazi wao mzuri ujenzi wa Barabara nchini. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.TANROADS imepata TUZO ya mfanyakazi bora na mwajiri bora kutoka TAMICO. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa ameshikana mikono na Mtendaji...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Magufuli afungua Mkutano wa tano wa Baraza la Wafanyakazi TANROADS-Morogoro

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Baraza la Wafanyakazi wa TANROADS mkoani Morogoro. Waziri Magufuli amewapongeza TANROADS kwa utendaji kazi wao mzuri ujenzi wa Barabara nchini.Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.TANROADS imepata TUZO ya mfanyakazi bora na mwajiri bora kutoka TAMICO.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa ameshikana mikono na Mtendaji...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ahamasisha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya jeshi la Polisi kufanya kazi kwa bidii!

pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.

pix 2

Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA WA FEDHA CHA FANYIKA MJINI MOROGORO


1Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (katikati) akiwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kulia) wakiwasili kwenye ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha lililofanyika leo mjini Morogoro. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo ambaye pia ni Katibu Mkuu Dkt. Servacius Likwelile.2Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha lililofanyika leo mjini Morogoro.3Mkuu wa Mkoa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA PWANI BI. MWANTUMU MAHIZA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI MJINI BAGAMOYO

 Mwenyekiti wa Baraza, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, B. Mwantumu Mahiza hajafungua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo katika hoteli ya Millenium Beach Resort, leo asubuhi.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bi. Mwantumu Mahiza akitoa hotuba wakati akifungua Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Uchukuzi, lililofanyika mjini Bagamoyo, leo asubuhi katika Hoteli ya Millenium Beach...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani