Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb.) akifungua Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa ya ziara ya Mawaziri nchini Burundi kuhusu hali ya kisisasa nchini humo. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi utakaofanyika tarehe 06 Julai, 2015, umefanyika kwenye Hoteli ya Serena,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WAFUNGULIWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb.) akifungua Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa ya ziara ya Mawaziri nchini Burundi kuhusu hali ya kisisasa nchini humo. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi utakaofanyika tarehe 06 Julai, 2015, umefanyika kwenye Hoteli ya Serena,...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA PILI WA MWAKA WA KIMATAIFA WA WATAALAM WA KUDHIBITI MBU WAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MKURUGENZI  Mkuu wa Taasisi ya Utafiti  wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akifungua mkutano huo wa pili wa mwaka wa kimataifa wa wataalam wa kudhibiti Mbumbu kwa Nchi zisizofungamana Afrika (PAMCA) ulioanza leo jijini Dar es Salaam.Picha ya pamoja ya washiriki mkutano huo wakiwa na mgeni rasmi.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wa afya EAC kukutana kwa dharura Arusha

Mawaziri wa afya na watendaji wa viwanja vya ndege katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) watakutana kwa dharura kuweka mkakati wa kudhibiti ugonjwa wa ebola.

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mawaziri wa Mifugo wafunguliwa leo jijini Nairobi,Kenya

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dr. Titus Mlengeya Kamani (katikati) akishiriki kwenye mkutano wa Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo,Mkutano huo umefanyika Katika ukumbi wa mikutano wa AU-IBR Jijini Nairobi, Kenya. Lengo la mkutano ni kujadili Mkakati wa Maendeleo ya Mifugo Afrika kwa kipindi cha 2015-2035Sehemu ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo wakiwa kwenye Mkutano huo.Picha ya pamoja ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo.

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wafunguliwa mkoani Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma leo mjini Dodoma katika Ukumbi wa St. Gaspar Hotel. Kulia kwake ni baadhi ya waandishi wa habari wakifutilia hotuba yake kwa umakini. Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias B. Kabunduguru akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Baraza Kuu la Tatu la Wafanyakazi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020.Picha na Ikulu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani